Publishing Details
Contact & Outreach
About This Podcast
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
Explore Statistics
Recent Episodes
Kwa nini vikwazo vya usafirishaji ni kizuizi kikubwa cha biashara Afrika Mashariki
Kupitia ripoti iliyozinduliwa juma hili na shirikisho la wazalishaji nchini Kenya, inaonyesha kuwa kusafirisha bidhaa katika njia muhimu za biashara za Afrika bado ni ghali na haitabiriki, ambapo…
Uwazi kwenye ubinafsishaji wa mashirika ya uma ni muhimu kwa maendeleo
Msikilizaji Katika miaka ya hivi karibuni, nchi nyingi za Afrika Mashariki zimekuwa zikifanya mageuzi makubwa ya kiuchumi. Mojawapo ya mageuzi hayo ni ubinafsishaji wa mashirika ya umma. Leo…
Vita ya Iran: Afrika imejipangaje kukabiliana na athari za kiuchumi
Msikilizaji mara zote mgogoro wa mashariki ya kati, umekuwa na athari hasi za kiuchumi na biashara duniani, Swali kubwa tunajiuliza hivi leo ni Je, Afrika iko salama kiasi gani? Vita hivi vitaathiri…
Ushirikishwaji wa wanawake katika sekta za kiuchumi chanzo cha ukuaji wa uchumi
Benki ya Dunia inasema hata katika nchi zenye sheria za kisasa kuhusu usawa kazini, nchi hizo zimeshindwa kuzitekeleza, hadi sasa hakuna nchi iliyofikia kiwango cha juu cha usawa kazini, n ani…
Ushirikiano wa kikanda hatarini: Nakisi ya bajeti yaibua maswali mapya
Juma hili tunajadili kuhusu mustakabali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, hasa wakati huu kukiwa na taarifa kuwa inakabiliwa na mgogoro wa kifedha. Taarifa zinaonesha kuwa Jumuiya hiyo inakabiliwa na…
Dubai: Viongozi wa dunia waangazia mageuzi ya sera, ubunifu na mifumo mipya ya utawala
Mkutano wa siku tatu wa Serikali za Dunia mwaka 2026 huko Dubai umesisitiza kuhusu udhibiti wa Akili Mnemba, AI, mageuzi ya kidijitali, uchumi endelevu na thabiti duniani. Viongozi mbalimbali…
Ushindani wa mataifa makubwa na mustakabali wa uchumi wa Dunia
Msikilizaji mataifa makubwa kama Marekani, China, Urusi na Ulaya yanaendelea kushindana kiuchumi, kuanzia kwenye biashara, teknolojia, nishati na rasilimali. Lakini je, ushindani wao unaathiri vipi…
Kenya Kuwa Singapore ya Afrika: Ndoto au Uhalisia?
Msikilizaji Rais wa Kenya, William Ruto, ameendelea kusisitiza azma ya kuifanya nchi yake kuwa Singapore ya Afrika, suala ambalo limeibua mjadala mkali nchini humo baadhi wakisema ni suala ambalo…
Kutoka Ufugaji wa Mifugo hadi Samaki: Mabadiliko ya Kiuchumi Kajiado
Msikilizaji jamii ya Wamaasai kwa muda mrefu imekuwa ikitegemea ufugaji wa mifugo kama chanzo kikuu cha riziki na chakula, hata hivyo, mabadiliko ya tabianchi yaliyoambatana na ukame wa mara kwa mara…
Sherehe za mwisho wa mwaka zisikuache bila pesa, fahamu mbinu za kudhibiti matumizi yako.
Tunapofika mwisho wa mwaka, jamii huingia katika kipindi cha sikukuu kama krismasi na mwaka mpya, ni wakati wa furaha, sherehe na kukutana na familia, lakini pia ni kipindi ambacho matumizi ya fedha…
Ripoti ya Oxfam-Kenya: Uchumi unakua, lakini Wakenya wengi ni masikini, kwa nini?
Msikilizaji juma lililopita shirika la kimataifa la kupambana na umasikini, OXFAM nchini Kenya, ilichapisha ripoti inayoonesha kuongezeka kwa pengo la usawa. Kwa mujibu wa shirika hilo, pengo la…
Mapinduzi ya Elimu Bondo: Jinsi Teknolojia Inavyowawezesha Wasichana Kuandika Kesho Yao
Katika maeneo mengi nchini, hasa magharibi mwa Kenya, wasichana wengi wanaojikuta wakisuasua katika mitihani ya sekondari huishia kwenye ndoa za mapema na mimba za utotoni—mazingira yanayozima ndoto…
Mandale: Kinywaji Cha Asili Kinachowainua Wanawake wa Goma
Msikilizaji katika uhalisia mgumu wa maisha ya wakazi wa Goma, hususan baada ya mji huo kuangukia mikononi mwa waasi wa AFC/M23, imeibuka hadithi ya kipekee ya uvumilivu na ubunifu wa wanawake. Kati…
Nini hatma ya Afrika baada ya kumalizika kwa mkataba wa kibiashara na Marekani ‘AGOA’
Mkataba wa kibiashara kati ya Afrika na Marekani maarufu kama AGOA umefika tamati, ni mkataba uliokuwa unatoa fursa kwa nchi za Afrika kufikia soko la Marekani bila vikwazo vya kiushuru, bara hili…
Vijana na ujasiriamali Afrika Mashariki: Nini kifanyike kuwawezesha?
Msikilizaji katika nchi zote za Afrika Mashariki, kuna wimbi jipya la matamanio kuhusu hali ya biashara, vijana, wakiongozwa na ubunifu na ustahimilivu! Wakigeuza harakati zao kuwa biashara…
Mzunguko haramu wa Fedha: Kizuizi kisichoonekana kwa ustawi wa Afrika
Kulingana na ripoti ya umoja wa Afrika, bara hilo linapoteza takribani dola za Marekani bilioni 88 kila mwaka kupitia njia zisizo halali kama ukwepaji kodi, utakatishaji fedha, utoroshaji wa mali na…
Kuwekeza katika Uchumi wa Bluu: Mkakati wa uhakika au Kamari hatari?
Leo hii tunatupia jicho uchumi wa bluu, eneo la kiuchumi linalotajwa kama suluhisho jipya la maendeleo endelevu, kukuza ajira na ubunifu, hata hivyo chini ya uso wa maji, maswali magumu yanajitokeza:…
Huduma jumuishi za kifedha kidijitali, Afrika iko wapi?
Katika makala ya Gurudumu la Uchumi, tunazungumzia mabadiliko makubwa ya kiuchumi kuhusu namna malipo ya kidijitali yanavyochochea huduma jumuishi za kifedha, ukuaji wa uchumi, na mageuzi ya…
Vijana wamepata elimu lakini hawana ajira: Changamoto ya ujuzi Afrika Mashariki
Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda, na kwingineko, ukosefu wa ajira kwa vijana umesalia kuwa wa kiwango cha juu, wakati huu maelfu ya vijana wakihitimu vyuo vikuu kila mwaka. Bado tuko na Ali Mkimo,…
Bomu linalosubiri kulipuka: Kwanini vijana wa Afrika Mashariki hawana ajira licha ya kuwa na shahada
Msikilizaji leo tunalijadili swali ambalo linaathiri mamilioni ya vijana katika ukanda wa Afrika Mashariki, pamoja na wageni tutajiuliza, Je, mfumo wa elimu unawaandaa vijana kupata ajira ambazo…
Frequently Asked Questions
Gurudumu la Uchumi has published 24 episodes since July 2025, covering topics in Business.
Gurudumu la Uchumi is currently highly active with new episodes every 2 weeks. Average episode length is 10m.
Sign up on Grep.FM to access contact details for Gurudumu la Uchumi, including email and social media links.