Habari RFI-Ki

Habari RFI-Ki

RFI Kiswahili

Episodes 24
Avg. Duration 9m
Activity Active
Since Feb 2026
Latest Episode Apr 2026

Publishing Details

Schedule
Every Few Days
Format
Episodic
Consistency
20%
Hosting
apis.rfi.fr

Contact & Outreach

About This Podcast

Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.

Explore Statistics

Recent Episodes

Africa : Mila za Africa je zinapotea ?

Apr 04, 2026 9m

Katika makala haya tunajadili iwapo mila za kiafrica zimeanza kuweka na namna gani zinaweza kudumishwa. Skiza makalaa

Maoni ya waskilizaji kuhusu matangazo yatu juma hili

Apr 03, 2026 9m

Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakuapa fursa kuchangia mada yoyote ile. Skiza maoni ya juma hili.

DRC : Yafunzu kucheza Kombe la Dunia 2026

Apr 01, 2026 9m

DRC imejikatia tiketi ya kucheza kwenye kupute cha kuwania kombe la dunia  Haya hapa maoni ya waskilizaji.

Kombe la Dunia : Hofu ya dhuluma za wakati wa kombe la dunia

Mar 31, 2026 10m

Ripoti ya shirika la Amnesty Interenational imeonya kuwa Kombe la Dunia la mwaka huu linaweza kuchangia ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu dunaini kutokana mpango wa mataifa wenyeji kuweka mikakati…

Uganda : Kuondoa magari mabovu jijini Kampla

Mar 30, 2026 9m

Katika makala haya tunajadili hatua ya jiji la Kampala nchini Uganda kutatangaza makataa ya siku 20 kwa wamiliki wa magari ya usafiri wa uma kuondoa magari yaliyochakaa barabarani, mamlaka zikisema…

Kenya : Haki za wafanyibiashara wa soko la Kigomba

Mar 28, 2026 10m

Katika makala haya tunaangazia haki za wafanyibiashara katika soko la Gikomba nchini Kenya. Kwa muda wafanyibiashara hao wamekuwa wakizozana na serikali kuhusu kipande cha ardhi cha soko hiyo. Skiza…

Kila Ijumaa RFI kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote ile

Mar 27, 2026 10m

Mashabiki wa rfi Kiswahili kila Ijumaa hupata nafasi ya kuchangia mada yoyote ile kupitia makala haya. Skiza maoni ya baadhi ya waskilizaji.

Kufungwa kwa makanisa nchini Rwanda ni kwa lengo la uwajibikaji

Mar 26, 2026 9m

Rais wa Rwanda Paul Kagame amekanusha madai kuwa serikali yake imekuwa ikiminya uhuru wa kuabudu, akisisitiza kwamba hatua ya serikali kufuatilia taasisi za kidini ni kwa lengo la kuhakikisha…

Jez ni sahihi kwa wanasiasa kutusiana kwenye mikutano ya hadhara?

Mar 24, 2026 10m

Nchini Kenya, rais William Ruto na aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua, wamekuwa wakirushiana maneno makali, kwenye mikutano ya hadhara na hata kwenda mbali na kutoa matusi na kushambuliana kuhusu…

CAF iliivua Senegal ubingwa na kuipa Morocco baada ya miezi miwili

Mar 20, 2026 9m

Katika uamuzi wa kushangaza , Shirikisho la soka barani Afrika CAF, limefuta ushindi wa Senegal kama mabingwa wa taji la AFCON na kulipa taji hilo Morocco ambao walikuwa wenyeji wa michuano hiyo.

Mahakama ya kikatiba ya Uganda yafuta vipengee vilivyominya uhuru wa kusema

Mar 20, 2026 9m

Urusi imehakikishia Kenya haitawasajili raia wake kupigana vita vya Ukraine

Mar 20, 2026 9m

Nchi zaidi za Afrika zimejitokeza kusema raia wake walihadhaiwa na kusajiliwa kwenda kupigana na vikosi vya Urusi nchini Ukraine

Bobi Wine ameweka hadharani alikimbia nchi yake baada ya kuhangaishwa

Mar 20, 2026 10m

Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Uganda Bobi Wine baada ya kuwa mafichoni kwa miezi miwili alifunguka na kusema kafanikiwa kukimbia baada ya kuwindwa na vikosi vya usalama

DRC : Mapendekezo ya kurekebisha katiba yaibua hisia mseto

Mar 12, 2026 10m

Tunajadili kinachoendelea nchini DRC, ambapo  mjadala kuhusu mapendekezo ya kufanyia katiba marekebisho, ikiwemo muhula wa urais, unazidi kuibua hisia mseto, baadhi ya raia wakionekana kuunga mkono…

EAC : Kenya na Rwanda yakumbatia camera za siri barabarani

Mar 11, 2026 9m

Tunajadili hatua ya Mataifa ya Kenya na Rwanda, kuanza kukumbatia matumizi ya kamera za siri barabarani ili kunasa madereva wanaokiuka sheria za barabarani, hatua inayolenga kupunguza ajali za mara…

EAC : Mafuriko yatatiza jiji la Nairobi

Mar 10, 2026 10m

Katika makala haya  tunajadili kinachoendelea jijini Nairobi nchini Kenya ambapo jiji hilo limeendelea kushuhudia mvua kubwa ambazo zimesababisha maafa ya zaidi ya watu 40. Nchi nyingine za Afrika…

EAC : Mabadiliko nani ya Jumuiya

Mar 09, 2026 10m

Katika makala haya tunajdili Juma lililopita wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kumteua rais wa Uganda, Yoweri Museveni kuwa mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo, huku wakitangaza mabadiliko…

Maoni kuhusu taarifa za Ulimwengu ikiwemo mzozo wa Mashariki ya Kati

Mar 08, 2026 10m

Leo ni siku ya mada huru. Tunampa msikilizaji wetu nafasi kuzungumzia suala lolote ambalo limetokea nchini mwake wiki hii, lakini pia kujadili kile ambacho amekisikia katika habari zetu wiki hii.

Somaliland yatangaza kuruhusu Marekani kuchimba madini na kuweka kambi za jeshi

Feb 24, 2026 9m

Kikao cha dharura cha wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

Feb 18, 2026 9m

Rais wa Kenya William Ruto, ameitisha kikao cha dharura cha wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika mashariki  mwezi ujao kujadili changamoto ya kifedha ambayo imetatiza shughuli za taasisi za jumuiya…

Frequently Asked Questions

How many episodes does Habari RFI-Ki have?

Habari RFI-Ki has published 24 episodes since February 2026.

Is Habari RFI-Ki still active?

Habari RFI-Ki is currently active with new episodes every few days. Average episode length is 9m.

How do I contact Habari RFI-Ki for sponsorship or guest appearances?

Sign up on Grep.FM to access contact details for Habari RFI-Ki, including email and social media links.

Similar Podcasts