HabariTech
HabariTech : Mambo Wasiyokwambia Kuhusu Teknolojia
Publishing Details
Contact & Outreach
About This Podcast
Explore Statistics
Recent Episodes
S2E1 Jenga Mfumo wa Kipato (Dividend Machine) Kwa Kutunza Tsh. 50,000 Kila Mwezi
Kwa vijana wengi wa kitanzania ambao tunatufuta pesa leo ili tule leo na kesho wazo la kuwekeza huonekana kama ni la mamilionea. Kuna namna ukifikiria hili unaweza kuona kama ni sawa, lakini haipo…
S1E10 Kutengeneza Podcast Bila vifaa vya Gharama
Ukitaka kuanza tengeneza podcast unaweza dhani unahitaji vifaa vya gharama ili uweze. Hiyo sio kweli kwa hapa HabariTech. Sisi tunatumia siku tu na tunatoa podcast nzuri.
S1E9 Utapoteza Account zako za Google
“Use it or Lose it” Google wanakwambia “Tumia au Ipoteze”. Wanaongelea zile accounts ambazo zimekaa muda mrefu bila kutumika. Hizi account zote zitafutwa bila kujali kama mmiliki yuko hai au tayari…
S1E8 Google Chrome CAPTCHA kuondolewa katika Version Zijazo
CAPTCHA imekuwa ni kitu inakera sana hivi karibuni pale inapokuja mara kwa mara. Kila muda inakutaka kuthibitisha kama wewe ni binadamu. Ni kama vile bots zimeanza kuichukua dunia, lakini haiko hivyo.
S1E7 Google kubadili icon ya HTTPS kwa sababu imepoteza uhalisia wake
Mwanzoni mwa miaka ya 2010s kufuli iliyofungwa ilianza kutumika kuonyesha kwamba website ziko salama. Miaka ya sasa hivi alama hii imeonekana kupoteza thamani yake kwa kuwa hata website zenye…
S1E6 Namna mitandao ya kijamii inasikiliza kila unachoongea
Sio mara moja watu mtandaoni wamelalamika kwamba mitandao ya kijamii inasikiliza mazungumzo yao. Hiyo ni kwa sababu huwa wakizungumza kuhusu jambo wanaanza kuona matangazo kuhusu hicho kitu. Kuna…
S1E4 Kifo Cha Google Launcher
Miaka yote google wamekuwa mstari wa mbele katika kutoka bidhaa/software ambazo zinapendelewa na watu. Imekuwa ni kampuni ambayo ikiona software haiko vizuri wanaiondoa sokoni na kuleta nyingine.…
Facial Recognition: Inakuja na Maajabu Gani?
Kwa miaka mingi tumeona Facial Recognition ikitumika katika movies na tukatamani sana kuona namna inavyofanya kazi katika uhalisia. Wakati tukitamani sana kuona God's eye ya Fast and Furious kuwa ya…
S1E1 Windows 10: Kuna Nini Microsoft Hawatuambii na Kwanini Inashida Sana?
Watumiaji wengi wa Windows 10 wamekutana na errors zilizopelekea wao kushindwa kufanya kazi. Mara nyingi hii inatokea baada ya kufanya update na kusalimiwa na BSOD (Blue Screen of Death). Kuna nini…
HABARITECH: Tecno Phantom X2
Flagship ya kwanza kutoka Tecno ikiwa na processor ya uwezo mkubwa na camera nzuri ya kushindanishwa na iPhone 14.
Kuachana na Simu Yangu
Barua hii ya kuachana na simu yako imeandikwa kwa lugha ya kiingereza na Catherine Price katika kitabu chake cha "How to break up with your Phone". Imetafsiriwa na kusomwa na Charles Venny wa…
Frequently Asked Questions
HabariTech has published 11 episodes since April 2022, covering topics in Technology.
HabariTech is currently highly active with new episodes semi-annually. Average episode length is 19m.
Sign up on Grep.FM to access contact details for HabariTech, including email and social media links.