Publishing Details
Contact & Outreach
About This Podcast
Explore Statistics
Recent Episodes
S3E2 JINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA | EP 6
Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa walizochagua.Hata hivyo, baadhi ya wauzaji hao…
S3E1 JINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA | EP 5
Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa walizochagua.Hata hivyo, baadhi ya wauzaji hao…
S2E2 JINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA |EP 4
Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa walizochagua.Hata hivyo, baadhi ya wauzaji hao…
S2E1 JINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA |EP 3
Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa walizochagua.Hata hivyo, baadhi ya wauzaji hao…
S1E2 JINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMILIONI YA WATANZANIA | EP 2
SEHEMU YA 2| EPSODE 2. Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa walizochagua.Hata…
S1E1 JINSI MATAPELI WANAVYOPORA MAMIMILIONI YA WATANZANIA MTANDAONI | EP 1
SEHEMU YA 1 | EPSODE 1. Kila siku baadhi ya Watanzania hutuma fedha kwenda kwa wafanyabiashara wanaotangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii kwa matumaini ya kuletewa bidhaa walizochagua.Hata…
AI: jinamizi lingine elimu ya juu Tanzania?
Katika episode hii ya Nukta the Podcast, tunajadili kwa kina namna teknolojia ya akili bandia (Artificial Intelligence – AI) inavyozidi kutumika katika vyuo vikuu nchini Tanzania na mjadala unaoibuka…
VITA YA MAJI ILIVYOLETA UMOJA KATI YA WAFUGAJI NA WAKULIMA MOROGORO
Katika episode hii tutaangazia jinsi tatizo la maji Ilivyowaunganisha wakulima na wafugaji Kilosa. Hapa utasikia simulizi ya wafugaji na wakulima waliokuwa maadui kutokana na mgogoro wa maji…
HATARI INAYOUKABILI MTO NGERENGERE
Hujambo msikilizaji wa Nukta the Podcast, karibu katika mfululizo wa episode zetu maalumu zinazoangazia Usimamizi wa rasilimali maji pamoja na mazingira katika maeneo mbalimbali nchini…
Wafahamu watu 10 tajiri zaidi duniani 2025
Ukuaji wa teknolojia umeendelea kuchochea ongezeko la utajiri duniani jambo ambalo limesababisha watu waliowekeza katika sekta hiyo kuendelea kujikusanyia ukwasi na kutawala orodha ya watu wenye…
VITA YA MAJI ILIVYOLETA AMANI NA MSHIKAMANO KATI YA WAFUGAJI NA WAKULIMA KILOSA
Katika episode hii tutaangazia jinsi tatizo la maji Ilivyowaunganisha wakulima na wafugaji Kilosa. Hapa utasikia simulizi ya wafugaji na wakulima waliokuwa maadui kutokana na mgogoro wa maji…
SCRAMBLE FOR WATER RESOURCES
This is the part of the three episodes that we have produced after visiting several districts in Morogoro region, eastern Tanzania meeting with farmers, livestock keepers, environmentalists, factory…
Restoration of Lake Manyara Tilapia remains an uphill duty
Join Daniel Samson to explore in detail about endangered Manyara Tilapia in Lake Manyara. Stocks of Manyara tilapias have plummeted to alarmingly low levels in recent decades due to unsustainable…
From sunlight to harvest: How solar energy brings hopes to farmers in Iringa
For decades, farmers in Lupembe Lwa Senga village in Iringa region had relied on the traditional farming system for their livelihoods. Apart from using hand hoes, animal plows, they would wait for…
UPUNGUFU WA WALIMU SHULE YA MSINGI UNAVYOATHIRI ELIMU TANZANIA
Wakati watahiniwa zaidi ya milioni moja wa elimu ya msingi Tanzania Bara wakiwa wanasubiri hatma yao, baada ya kumaliza mitihani yao jana Septemba 14, 2023, utoshelevu wa walimu katika ngazi hiyo…
Elimu ya Veta inavyowainua walemavu wa akili Tanzania
Awali, ilikuwa ni vigumu kushuhudia watu wanaozaliwa na ulemavu wakipata huduma muhimu wanazozihitaji kama elimu, afya, pamoja na kushirikiana na wanajamii wengine kuibua suluhu za matatizo…
MFAHAMU MBUNIFU WA MAJIKO YANAYOTUMIA MAWE TANZANIA
Nishati ya kupikia ni miongoni mwa mahitaji muhimu ya binadamu duniani kote, hiyo ndio huwezesha mapishi ya aina mbalimbali za vyakula tunavyokula ili kuimarisha afya na kuwezesha utendaji wa…
JINSI MATAPELI WANAVYOTUMIA TAASISI YA MO FOUNDATION KUIBIA WATU
Kama wewe ni mtumiaji wa mtandao wa Facebook huenda umewahi kukutana na chapisho linalohusu fursa ya mikopo kutoka kwenye taasisi ya mfanyabiashara bilionea nchini Tanzania Mohamed Dewji…
KWA NINI BANGI INALIMWA ZAIDI TANZANIA LICHA YA OPARESHENI KALI ZA DAWA ZA KULEVYA?
Mapema Agosti mwaka huu Serikali ya Tanzania ilitangaza kukamata magunia 131 ya bangi, kilo 120 za mbegu za bangi na kuteketeza jumla ya hekari 489 za mashamba ya bangi mkoani Morogoro, katika moja…
Teknolojia ya vifuu vya nazi itakavyo waokoa wachimbaji na madhara ya zebaki
Huenda wachimbaji wadogo wa madini Tanzania wakaepukana na athari za afya pamoja na uchafuzi wa mazingira ikiwa wataasili matumizi ya bidhaa mpya ya kusafishia madini (Activated carbon) inayozalishwa…
Frequently Asked Questions
Nukta the Podcast has published 78 episodes since June 2021, covering topics in Entertainment News, News.
Nukta the Podcast is currently highly active with new episodes weekly. Average episode length is 6m.
Sign up on Grep.FM to access contact details for Nukta the Podcast, including email and social media links.