Publishing Details
Contact & Outreach
About This Podcast
Changu Chako, Chako Changu ni makala inayozungumzia masuala ya historia, utamaduni, muziki na lugha ya Kifaransa Afrika Mashariki na Kati na duniani. Makala haya yatakuhabarisha pia kuhusu Jumuiya ya Kimataifa ya Watu Wanaotumia lugha ya Kifaransa kwenye Mawasiliano (L'OIF) na jinsi gani kujifunza na kuelewa lugha nyingine inaweza kuimarisha mahusiano kwenye sehemu zote za maisha ya binadamu.
Social Media
Explore Statistics
Recent Episodes
Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa kupenda kusafiri juni 7 2026
Makala haya yanazungumzia kuhusu utamaduni wa kupenda kusafiri kutoka katika eneo moja hadi lingine. Utamaduni huu unashuhudiwa tu kwa wenzetu wazungu. Ali Bilali amempokea influancer maharufu kutoka…
Changu Chako Chako Changu: Historia ya Xenophobia barani Afrika Mei 17 2026
Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nakuleteza historia ya…
Changu Chako Chako Chako Changu: fursa za kikao cha Ufaransa na Mataifa ya Afrika
Katika makala haya mtangazaji wako Ali Bilali anaangazia utamaduni wa kujifunza lugha na furza za mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika na Ufaransa, mkutano ambao hapo awali ulifahamika kama France…
Historia ya siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari
Tarehe 03 mei ya kila mwaka ni siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari, na mwaka wa 2026 imetimia miaka 35 tangu siku hiyo kutangazwa na baraza la umoja wa mataifa, na katika utamaduni…
Historia ya vita vya Iran na Israeli huko mashariki ya kati
Makala hii imejikita huko mashariki ya kati ambapo tumeangazia kwa undani historia ya nchi ya Iran, na katika utamaduni kabila la wabembe kutoka Fizi mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo,…
Changu chako: Utamaduni wa watu kutoka Embu nchini Kenya
Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu jumapili hii, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parle francophone na Muziki ambapo leo nitakuletea utamaduni…
Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa kuishi pamoja makabila mbalimbali April 12 2026
Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu jumapili hii, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki ambapo leo nitakuletea…
Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa matumizi ya viungo kwenye chakula march 22 2026
Ni jumapili nyingine tunakutana katika makala Changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakupelekea…
Changu Chako Chako Changu: Zanzibar yavunja rekodi ya utamaduni wa kufturisha
Karibu katika Makala yetu ya leo Changu Chako Chako Changu, makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali utamaduni, le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakupeleka huko Visiwani…
Changu Chako Chako Changu historia ya ngome ya Yesu Mombasa March 8
Katika makala yetu ya leo Jumapili mtangazaji wako Ali Bilali anatupeleka Mombasa Pwani ya Kenya kuskiliza historia ya Ngome Kongwe pamoja na ile ya ngome ya Yesu ama fort Jesus. Kumbuka pia…
Changu Chako Chako Changu ukumbusho wa mizinga ya kale huko lamu Feb 15 2026
Makala haya mtangazaji Benson Wakoli alipata nafasi ya kutembelea county ya Lamu Pwani ya Kenya kuangazia kuhusu mizinga iliotumika zama za ukoloni. utapta pia kumsikiliza msanii kutoka nchini…
Changu Chako Chako Changu vijana wa Mombasa na fursa kwenye tasnia ya filamu Feb 1 2026
Katika safari yangu huko Mombasa, nimekutana na vijana kwenye tasnia ya Filamu na kufanya nao mazungumzo kuhusu tasnia hii namna inavyopiga hatuwa pamoja na chamgamoto zake. Kumbuka kutufualia @billy…
Changu chako chako changu siku ya mashujaa nchini DRC
Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali anakukumbusha historia ya mashujaa nchini DRC
Changu Chako Chako Changu Historia na tamaduni za wabajuni march 1 2026
Karibu katika Makala haya Changu Chako Chako Changu Jumapili hii nakuletea Historia na tamaduni mbalimbali za watu wa kabila la wabajuni, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Maud Elka kutoka…
Changu ChakO chako Changu waigizaji kutoka Mombasa wachangamkia fursa sehemu ya pili
Waigizaji wa filamu kutoka nchini Mombasa wachangamkia fursa kwa kuwezeshwa na kituo cha utamaduni wa Ufaransa Allaince Francaise ya Mombasa. Huyu hapa ni Lina Sande mmoja wapo tuliekutana naye…
Changu Chako Chako Changu fursa ya kujifunza lugha za kigeni Feb 22 2026
Karibu katika Makala haya Changu chako Chako Changu jumapili ya leo ambapo tumejikita zaidi katika swala la kujifunza lugha za kigeni kama Fursa. Nitakuletea pia mwanamuziki kutoka Mombasa Chikuzee,…
Baadhi ya watangazaji wa RFI Kiswahili watuma salamu za mwaka mpya 2026
Karibu katika Makala haya ya kwanza kabisa mwaka mwaka 2026, changu chako chako changu, nikutakie heri ya mwaka mpya. Kumbuka makala haya hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler…
Salam za mwisho wa mwaka kutoka kwa waskilizaji wapenzi wa makala Changu Chako Dec 28
Karibu katika Makala haya ya mwisho kabisa katika mwaka 2025, ambapo kama ilivyo ada hukupa nafasi kutathmini ni mada gani iiokugusa katika kipindi cha mwaka 2025, lakini pia hutowa nafasi kwa…
Kumbukumbu ya makala za mwaka 2025 sehemu ya pili desemba 21 2025
Karibu katika Makala yetu ya leo Jumapili Desemba 21, wakati tukielekea kutamatisha mwaka 2025, ambapo nakukumbusha baadhi ya makala tulizokuwa nazo mwaka huu, utapata kuskiliza makala kuhusu…
Kumbukumbu ya Makala za mwaka 2025 sehemu ya kwanza Desemba 14 2025
Katika Makala haya mtagazaji wako Ali Bilali anakukumbusha baadhi ya makala zilizoruka hewani katika mwaka 2025 ikiwa ni sehemu ya kwanza.
Frequently Asked Questions
Changu Chako, Chako Changu has published 24 episodes since December 2025, covering topics in Society & Culture.
Changu Chako, Chako Changu is currently highly active with new episodes weekly. Average episode length is 20m.
Sign up on Grep.FM to access contact details for Changu Chako, Chako Changu, including email and social media links.