Episodes 881
Avg. Duration 11m
Activity Active
Since Jul 2023
Latest Episode Jun 2026

Publishing Details

Schedule
Daily
Format
Episodic
Consistency
48%
Hosting
sbs-ondemand.streamguys1.com

Contact & Outreach

About This Podcast

Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili

Podcasting 2.0 Features

images

Explore Statistics

Recent Episodes

Taarifa ya Habari: HRW: Rwanda na M23 zinawaajiri watu kwa lazima kwenye vikosi vyao

Jun 11, 2026 5m

Waziri Mkuu Anthony Albanese haja tupilia mbali uwezekano wa kuongeza muda wa kupunguzwa kwa ushuru wa mafuta kutokana na kufufuliwa upya kwa mapigano Mashariki ya Kati.

MiniPod: Man On! | Words we use - MiniPod: Man On! | Words we use

Jun 11, 2026 3m

Learn a new phrase and make your English sound more natural and interesting. Words We Use is a bilingual series that helps you understand idioms like 'Man On!'. - Jifunze msemo mpya na fanya…

MiniPod: Keep your eye on the ball | Words we use - MiniPod: Keep your eye on the ball | Words we use

Jun 11, 2026 3m

Learn a new phrase and make your English sound more natural and interesting. Words We Use is a bilingual series that helps you understand idioms like 'Keep your eye on the ball'. - Jifunze msemo mpya…

SBS Learn Eng Ep 112 Jinsi yaku zungumza kuhusu likizo za shule

Jun 10, 2026 13m

Je, unajua jinsi yakuzungumza kuhusu likizo ya shule?

SBS Examine: CVE ni nini?

Jun 10, 2026 7m

Mnamo Mei, wanawake 11 na watoto 21 wali wasili nchini Australia kutoka Syria.

Taarifa ya Habari:Umaarufu wa chama cha One Nation, walazimisha vyama vya kisiasa nchini kubadili mitazamao yao

Jun 09, 2026 7m

Waziri Mkuu Anthony Albanese anasema serikali lazima zishughulikie mfadhaiko katika uchumi unaoongezeka, baada ya kura mpya ya maoni kuonyesha ongezeko la uungwaji mkono kwa chama cha One Nation.

Yaliyojiri Afrika: Swala lakubadilisha katiba lazua mpasuko katika makanisa DR Congo

Jun 09, 2026 7m

Kume kuwa mgwanyiko kati ya kambi yamakanisa katika Jamuhuri yakidemokrasia ya Kongo, kutakana na swala lakubadilisha katiba.

Australia Yafafanuliwa: Nini cha kutarajia unapomtembelea daktari wa mifugo

Jun 09, 2026 13m

Kama una mnyama kipenzi wa nyumbani, kumpeleka kwa daktari wa mifugo mara kwa mara ni muhimu kwa kuhakikisha mnyama wako ana afya njema na usalama.

Taarifa ya Habari:Australia yatoa heshima zake kwa hayati Richard Scolyer

Jun 08, 2026 4m

Wanafamilia na Waziri Mkuu Anthony Albanese wamemkumbuka Richard Scolyer, mshindi wa zamani wa tuzo yamu Australia bora wa mwaka.

Chiry "maelezo ya kifo cha Sheila, haya endani na msomo wa mwili wake"

Jun 08, 2026 9m

Wakenya wanao ishi mjini Sydney walifanya maandano, wakidai majibu kuhusu sababu ya kifo cha rafiki yao Sheila Chebii, aliye fariki akiwa kazini ndani ya jengo la Meriton.

Taarifa ya Habari: Upinzani wa mseto wapanga njama yakuzuia kupitishwa kwa sheria ya kodi ya serikali ndani ya Seneti

Jun 05, 2026 13m

Mabadiliko ya kodi ya serikali ya shirikisho yamepitishwa ndani ya nyumba la Wawakilishi - ila, upinzani wa mseto hauja tupilia mbali uwezekano wa muungano na chama cha Greens kuzuia mabadiliko hayo…

Yaliyojiri Afrika: Duale "serikali haita shauriana na raia kuhusu karantini ya Ebola"

Jun 05, 2026 7m

Rais wa Kenya, William Ruto, amesema serikali yake inafanya jambo sahihi kwa kuruhusu Marekani kujenga kituo cha karantini ya Ebola nchini humo.

Taarifa ya Habari:Mahakama ya Kenya yasimamisha kujengwa kituo cha karantini cha Ebola

Jun 04, 2026 5m

Mahakama Kuu ya Kenya Jumanne ilisimamisha kwa wiki tatu zaidi mpango wa kujenga kituo cha karantini ya Ebola, kilichopendekezwa na Marekani.

Most Australians see migration as a benefit. Is economic stress changing the story? - Waaustralia wengi huona uhamiaji kama faida. Je! msongo wa mawazo wa kiuchumi una geuza mtazamo?

Jun 03, 2026 7m

Migrants and refugees are often blamed for rising cost of living pressures. Is there a way to break the cycle? - Wahamiaji na wakimbizi mara nyingi hulaumiwa kwa ongezeko la shinikizo la gharama ya…

MiniPod: GOAT | Words we use - MiniPod: GOAT | Words we use

Jun 03, 2026 3m

Learn a new phrase and make your English sound more natural and interesting. Words We Use is a bilingual series that helps you understand idioms like 'GOAT'. - Jifunze msemo mpya na fanya Kiingereza…

MiniPod: GOAT | Maneno tunayo tumia

Jun 02, 2026 3m

Jifunze msemo mpya na fanya Kiingereza chako kisikike cha asili na cha kuvutia zaidi. Words we Use ni makala ya lugha mbili, yatakayo kusaidia kuelewa nahau kama vile 'G.O.A.T' (Mchezaji Bora wa…

Faith"niliona nikama dunia ime isha na, nilihisi kwamba nimejipoteza pia mimi mwenyewe"

Jun 02, 2026 13m

Sheila Chebii alikuwa nchini Australia chini ya miezi mbili, alipo aga dunia katika mazingira yakutatanisha.

Taarifa ya Habari: Upinzani wa shirikisho wakosoa pendekezo la kumpa mweka hazina mamlaka ya kutoa punguzo la kodi ya faida ya mtaji

Jun 02, 2026 13m

Upinzani wa Mseto unakosoa muswada wa mageuzi ya kodi wa serikali ya Labour, kwa kumpa mweka hazina mamlaka ya kuamua ni mali gani zinaweza wekewa punguzo la kodi ya faida ya mtaji.

A guide to fuel types in Australia | Fuel in Focus - Australia Yafafanuliwa: Mwongozo kwa aina za petroli nchini Australia | Petroli Yalengwa

Jun 02, 2026 8m

Drivers across Australia are paying more at the bowser as fuel prices remain unstable. So does it make sense to go for cheaper petrol options when filling up? The answer depends largely on your…

Makala leo: Popovic afanya maamuzi magumu akitangaza kikosi cha Kombe la Dunia cha Socceroos

Jun 02, 2026 8m

Leo asubui Mwalimu wa timu ya taifa ya Australia Tony Popovic ametangaza kikosi chake cha wachezaji 26, cha Socceroos watakao cheza katika Kombe la Dunia la FIFA la 2026.

Frequently Asked Questions

How many episodes does SBS Swahili - SBS Swahili have?

SBS Swahili - SBS Swahili has published 881 episodes since July 2023, covering topics in Daily News, News.

Is SBS Swahili - SBS Swahili still active?

SBS Swahili - SBS Swahili is currently active with new episodes daily. Average episode length is 11m.

How do I contact SBS Swahili - SBS Swahili for sponsorship or guest appearances?

Sign up on Grep.FM to access contact details for SBS Swahili - SBS Swahili, including email and social media links.

Similar Podcasts