H.W PODCAST - Positive Vibes!
Hub of Wisdom inc.
Publishing Details
Contact & Outreach
About This Podcast
Explore Statistics
Recent Episodes
S4E33 UHURU WA KIFEDHA KUPITIA UWEKEZAJI - Emilian Busara (MBA, CPA)
Ikiwa unaanza au ni mzoefu tayari katika eneo la uwekezaji kupitia hisa, UTT, hati fungani (bonds) katika video hii mwanataaluma Mwl. Emilian Busara (MBA, CPA) katika uongozi katika biashara, miradi…
S5E30 Najma Paul - KUIJENGA NGUVU YAKO & KUKABILIANA NA CHANGAMOTO
"Nianze kwa kuzungumzia hili eneo... Mitikasi ya maisha yako, kutafuta kwako, kupambana kwako. Lifestyle yako, maizingira unayoishi, vinaamua, vinahitaji na vinajenga NGUVU YAKO." Anasema Najma Paul…
KUFIKIA KIWANGO CHA JUU ZAIDI KATIKA KILE UTAKACHOKIFANYA - Sebastian Kolowa
"Sisi sote tuna nafasi ya kustawi zaidi katika chochote tunachokifanya. Changamoto inayotukumba vijana wengi ni kwamba hatutambui na kuzifuata zile hatua muhimu zenye kutufikisha hapo. Muda ni…
S3E29 MAKOSA MAKUBWA YANAYOFANYIKA KATIKA MAHUSIANO NA NAMNA YA KUYAEPUKA - Sadaka Gandi #Mapenzi
"Wewe unaamini kwamba huyo mwenzako unampenda kumbe kuna makosa makubwa sana. Twende pamoja tuangalie vijana wanakosea wapi na namna gani ufanye ili kuepuka au kurekebisha makosa." Anasema Bi Sadaka…
S3E27 KUONGEZA THAMANI
Hauwi wa thamani kwasababu ya kile unachokipata bali kile unachokitoa. "Kwakuwa kile apandacho mtu ndicho atakachovuna, apandaye haba atavuna haba. Apandaye kwa ukarimu atavuna kwa…
S3E26 NAMNA SAHIHI YA KUJENGA
"Start Small think Big". Zingatia mambo madogo. "Start Small, Think Big". Ukifanya vizuri katika uwanda mdogo hata siku ukiwa katika uwanda mkubwa, uwezekano ni kwamba utafanya vizuri. Wakati…
S3E25 KWANINI MAHUSIANO MENGI YA KIMAPENZI HAYADUMU? - Sarah Ngonyani
Kwa uwazi na utaalamu Mis Sarah anaelezea namna ya kudumisha mahusiano ya kimapenzi. Sikiliza
WATU
"The more hands you shake, the more opportunities you create." Katika hatua za awali za kujenga biashara au asasi uwezekano mkubwa ni kwamba watakaojihusisha na wewe ni watu wanaokufahamu. Vivyo…
MIPANGO
Watu wengi hudhani kuwa wakipata fedha nyingi ndio watafanya mambo fulani makubwa. Lakini ukweli ni kwamba wengi hawana umadhubuti wa matarajio yao, yapo hewani tu. Fuatilia mtiririko wa episode…
S3E23 SIRI ZA USHINIDI - Halima Kopwe (MISS WORD TZ 2023)
'From a Rough to a Diamond' Mis. Halima Kopwe anaelezea safari yake ya ushindi na kile anachowashauri vijana wengine wenye kiu ya kustawi katika nyanja walizopo. EDITION 4 - THE WISE MEGA MEET-UP…
S3E22 DONDOO ZA MPENYO WA KIUCHUMI - James Mwang'amba.
"Tunaposema mpenyo wa kifedha maana yake ni kwamba mtu anatoka sehemu moja ya chini na kwenda katika sehemu nyingine ya juu. Ushindani ni mkubwa na hakuna mtu anayejali kwamba unalia au unalalamika.…
S3E21 MALENGO (Goal Setting) - Anthony Luvanda
Unachotakiwa kufahamu kuhusu malengo. Anthony Luvanda anazungumzia manufaa ya kuweka malengo, sababu zinazowafanya watu wengi wasizingatie kuweka malengo na Kwanini watu wengi wenye malengo…
S3E27 Dina Marios anatoa funzo kubwa kutoka katika historia ya kusisimua ya maisha yake. Hamasika!
Mwanadada Dina ni mmoja wa watu wanaoshangiliwa sana hapa Tanzania. Ameotesha mizizi ya ushawishi kwa hadhira yake kupitia umaridadi alionao katika media na harakati za kuwaleta wanawake wa…
MAPENZI YA BLUETOOTH - Irene Kamugisha.
"Connection kwenye mapenzi ni suala la muhimu sana. Inawezekana kufanya mapenzi yakashamiri na yakawa na tija kwa wewe na mwenzako kama kuzingatia mambo haya niyakayoyazungumza hapa." Anasema madam…
S3E25 Mafanikio ya Kifedha | Victor Mwambene - (Kanuni kumi za kutengeneza fedha)
"Mafanikio ya kifedha sio bahati, mafanikio yanakuja kwa kuwa na maarifa sahihi juu ya fedha, kwa juhudi, nidhamu binafsi na kwa kupambana. Mungu ametupa wote neema ila ni tabia zetu, imani na fikra…
S3E25 Mkakati wa maendeleo Binafsi - Mosses Raymond (Samora)
Ili mwanadamu aweze kutimiza kusudi la uwepo wake maishani ni lazima atumie na kuboresha uwezo wake binafsi. Kwa kufanya hivyo ndio atakuwa mwenye tija. Mosses Raymond anaeleza ukweli wa maisha,…
S3E24 Kujiandaa kwa ajili ya ndoa - Chris Mauki
"Ndoa ni kama nyumba, msingi usipokuwa mzuri, nyumba haiwi imara."
S3E23 KUFUNGUA MILANGO YA FURSA ZA KIFEDHA - James Mwang'amba.
Kustawi kifedha na mafanikio ya uchumi kwa ujumla ni matokeo ya maarifa na juhudi zinazoelekezwa katika kutengeneza fursa na kuzitumia. James Mwang'amba ni mtaalamu wa masuala ya biashara na…
S3E22 KUOA NA KUOLEWA. Upi ni muda sahihi? Fahamu sababu na namna ya kushulika nazo - Sadaka Gandi.
"Tunaongea habari ya kuoa na kuolewa. Pamoja na kwamba wanasema ndoa haina fomula lakini kuna _best practices_ ambazo ukizifuata utaona matunda." Anasema Aunt Sadaka. Pata kufahamu kuhusu madhara…
S2 Masoud Kipanya - MBINU MBADALA ZA MAENDELEO
Maendeleo ni kitu muhimu na tunahitaji uthubutu na uimara wa kifikra ili tufaulu. "Na ukitaka kufaulu kuliko kwingi, jifunze sana kutokulaumu watu, jifunze kutokutegemea watu. Jifunze kutengeneza…
Frequently Asked Questions
H.W PODCAST - Positive Vibes! has published 39 episodes since February 2020, covering topics in Education, Self-Improvement.
H.W PODCAST - Positive Vibes! is currently dormant with new episodes monthly. Average episode length is 15m.
Sign up on Grep.FM to access contact details for H.W PODCAST - Positive Vibes!, including email and social media links.
Similar Podcasts
Muslim Recharge 🇰🇪🇹🇿
Next Gen Muslim Network
13 episodes
The Insightful Podcast Show (TIPS)
Carlton
53 episodes
Innocent Morris
Innocent Morris
119 episodes
The Insightful Podcast Show (TIPS)
Carlton
52 episodes
Muslim Recharge 🇰🇪🇹🇿
Next Gen Muslim Network
11 episodes
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Luphurise Lema
97 episodes