Episodes 119
Avg. Duration 30m
Activity Highly Active
Since Mar 2022
Latest Episode May 2026

Publishing Details

Schedule
Weekly
Format
Episodic
Consistency
15%
Hosting
rss.buzzsprout.com

About This Podcast

Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi

Podcasting 2.0 Features

transcript

Social Media

Explore Statistics

Recent Episodes

DALILI SABA ZINAZOONESHA UKO KARIBU NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris

May 31, 2026 1h 5m Transcript

Send us Fan MailKaribu sana ujifunze somo hili kuhusu ukaribu wako na Roho Mtakatifu. Hakika somo hili litakusaidia sana kujenga ukaribu wako na Roho Mtakatifu.Ubarikiwe sana.Innocent MorrisContact:…

JINSI YA KUMFURAHISHA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris

May 24, 2026 1h 6m Transcript

Send us Fan MailKatika somo hili, utajifunza kwa undani jinsi ya kuishi maisha yanayompendeza Roho Mtakatifu kila siku. Utajifunza mambo yanayomhuzunisha na mambo yanayomfurahisha."Wala msimhuzunishe…

JINSI YA KUWA NA URAFIKI WA KARIBU NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris

May 19, 2026 1h 16m Transcript

Send us Fan MailKatika somo hili utajifunza jinsi ya kuwa na urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu.Kama una kiu ya kuwa karibu sana na Roho Mtakatifu, hakika hili somo lina kufaa.Karibu ujifunze…

KWA NINI ROHO MTAKATIFU ANAONEKANA YUPO KIMYA KWA WATU WENGI - Innocent Morris

May 19, 2026 1h 7m Transcript

Send us Fan Mail Je, umewahi kujiuliza kwa nini wakati mwingine inaonekana kama Roho Mtakatifu yuko kimya katika maisha yako? Kwa nini wengine wanasema wanasikia sauti yake kwa uwazi, lakini wewe…

ROHO MTAKATIFU HAKAI MBALI, TATIZO NI HILI - Innocent Morris

May 18, 2026 1h 8m Transcript

Send us Fan MailKatika somo hili utapata majibu ya maswali mengi ambayo umekuwa ukijiuliza. Mfano:Nahisi Roho Mtakatifu yupo mbali nami, tatizo ni nini?Nahisi Roho Mtakatifu hanisikii nikiomba,…

MAMBO 6 YANAYOWEZA KUHARIBU URAFIKI WAKO NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris

Apr 20, 2026 1h 1m Transcript

Send us Fan MailKatika somo hili utajifunza mambo 6 yanayoweza kuharibu urafiki wako na Roho Mtakatifu, na jinsi ya kuyaepuka ili uendelee kuwa na maisha ya kiroho yenye nguvu na ushirika wa karibu…

JINSI YA KUJENGA URAFIKI WA KARIBU SANA NA ROHO MTAKATIFU - Innocent Morris

Apr 13, 2026 1h 3m Transcript

Send us Fan MailIkiwa una kiu na unatamani sana kuwa na urafiki wa karibu sana na Roho Mtakatifu; na hujui nini cha kufanya ili uwe na urafiki naye wa karibu. Karibu ujifunze katika somo hili.Hakika…

JINSI YA KUISHI NA ROHO MTAKATIFU KAMA RAFIKI WA KARIBU - Innocent Morris

Apr 13, 2026 56m Transcript

Send us Fan MailMungu akubariki sana.Ubarikiwe sana.Contact: +255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnect Facebook Page: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)

MAOMBI YA UPONYAJI - Innocent Morris

Mar 25, 2026 34m Transcript

Send us Fan MailHaya ni maombi ya uponyaji kwa wagonjwa. Omba kwa imani utapokea uponyaji wako."Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi,…

MAOMBI YA ASUBUHI - Innocent Morris

Jan 29, 2026 23m

Send us Fan MailHaya ni maombi ya kuomba kila siku asubuhi. Asubuhi yako anza na Bwana. Mtangulize Bwana katika siku yako, katika kazi yako, katika biashara yako, katika interview, katika safari,…

JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA - Innocent Morris

Jan 13, 2026 1h 5m Transcript

Send us Fan MailKatika somo hili utajifunza JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA, utajifunza hatua kwa hatua namna ambavyo Biblia imeelekeza mfungo sahihi na wenye kuleta matokeo. Hakika ni somo…

UNABII WA MWAKA MPYA 2026 | Innocent Morris

Jan 03, 2026 22m

Send us Fan MailKatika podikasti hii utapata kujua Mungu anasema nini juu ya mwaka huu mpya wa 2026.  Utapata neno la kutembea nalo mwaka huu wote. Na pia utapata ahadi za Bwana juu yako maisha yako…

MAOMBI YA KUOMBEA MWAKA 2026 - Innocent Morris

Jan 03, 2026 1h 43m

Send us Fan MailKaribu kwenye maombi maalum ya kuombea mwaka 2026! Katika naombi haya, tunamwomba Mungu kwa ajili ya ulinzi, baraka, mafanikio, na mwongozo wake kwa kila siku ya mwaka huu mpya.…

MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA ADUI -Innocent Morris

Nov 24, 2025 1h 33m

Send us Fan MailOmba Mungu aondoe kitu chochote kilicho kaa ndani yako ambacho kinakuzuia usisonge mbele katika eneo lolote la maisha yako.MSTARI:"Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu…

JINSI YA KUSHINDA UVIVU WA KUOMBA - Innocent Morris

Nov 14, 2025 1h 6m

Send us Fan MailUvivu wa kuomba ni adui mkubwa wa ukuaji wa kiroho. Wengi tunajua tunapaswa kuomba, lakini mara nyingi tunajikuta tumechoka, tunasahau, au hatuna hamu kabisa ya kuomba. Katika somo…

JIFUNZE KUAMKA USIKU KUOMBA - Innocent Morris

Nov 14, 2025 58m

Send us Fan MailKuna nguvu ya kipekee inayofichwa kwenye maombi ya usiku! Na maombi ya usiku ni maombi yenye matokeo makubwa katika maisha ya mtu. Katika somo hili utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya…

JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA NADHIRI - Innocent Morris

Oct 14, 2025 1h 5m

Send us Fan MailKaribu ujifunze jinsi ya kuomba maombi ya nadhiri.Katika somo hili utajifunza namna sahihi ya kibiblia ya kuomba maombi haya, utajifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kufanya…

SIRI TANO ZA KUOMBA MAOMBI YENYE NGUVU - Innocent Morris

Oct 14, 2025 1h 3m

Send us Fan Mail​Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya maombi hujibiwa na mengine hayajibiwi? Je, unatamani kuwa na maisha ya maombi yenye nguvu na yenye matokeo? Ikiwa umechoka kuomba maombi…

MAOMBI YA UJAZO WA ROHO MTAKATIFU

Oct 14, 2025 57m

Send us Fan MailJe, unatamani kujazwa na nguvu ya Roho Mtakatifu ili maisha yako ya kiroho yabadilishwe kabisa? Je, umekuwa na kiu ya kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu na kutamani kunena kwa lugha…

MAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent Morris

Sep 16, 2025 40m

Send us Fan MailMAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent MorrisKatika maombi haya tutamwomba Mungu atujalie roho ya unyenyekevu. Kupitia maombi haya, tunaweka mioyo yetu mbele za Bwana…

Frequently Asked Questions

How many episodes does Innocent Morris have?

Innocent Morris has published 119 episodes since March 2022, covering topics in Christianity, Education.

Is Innocent Morris still active?

Innocent Morris is currently highly active with new episodes weekly. Average episode length is 30m.

Similar Podcasts