Innocent Morris
Innocent Morris
Publishing Details
About This Podcast
Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi
Social Media
Explore Statistics
Recent Episodes
MAOMBI YA ASUBUHI - Innocent Morris
Send a textHaya ni maombi ya kuomba kila siku asubuhi. Asubuhi yako anza na Bwana. Mtangulize Bwana katika siku yako, katika kazi yako, katika biashara yako, katika interview, katika safari, katika…
JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA - Innocent Morris
Send a textKatika somo hili utajifunza JINSI YA KUFUNGA MFUNGO SAHIHI KIBIBLIA, utajifunza hatua kwa hatua namna ambavyo Biblia imeelekeza mfungo sahihi na wenye kuleta matokeo. Hakika ni somo zuri…
MAOMBI YA KUOMBEA MWAKA 2026 - Innocent Morris
Send a textKaribu kwenye maombi maalum ya kuombea mwaka 2026! Katika naombi haya, tunamwomba Mungu kwa ajili ya ulinzi, baraka, mafanikio, na mwongozo wake kwa kila siku ya mwaka huu mpya. Tukiwa na…
UNABII WA MWAKA MPYA 2026 | Innocent Morris
Send a textKatika podikasti hii utapata kujua Mungu anasema nini juu ya mwaka huu mpya wa 2026. Utapata neno la kutembea nalo mwaka huu wote. Na pia utapata ahadi za Bwana juu yako maisha yako…
MAOMBI YA KUNG'OA MAPANDO YA ADUI -Innocent Morris
Send a textOmba Mungu aondoe kitu chochote kilicho kaa ndani yako ambacho kinakuzuia usisonge mbele katika eneo lolote la maisha yako.MSTARI:"Akajibu, akasema, Kila pando asilolipanda Baba yangu wa…
JIFUNZE KUAMKA USIKU KUOMBA - Innocent Morris
Send a textKuna nguvu ya kipekee inayofichwa kwenye maombi ya usiku! Na maombi ya usiku ni maombi yenye matokeo makubwa katika maisha ya mtu. Katika somo hili utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya…
JINSI YA KUSHINDA UVIVU WA KUOMBA - Innocent Morris
Send a textUvivu wa kuomba ni adui mkubwa wa ukuaji wa kiroho. Wengi tunajua tunapaswa kuomba, lakini mara nyingi tunajikuta tumechoka, tunasahau, au hatuna hamu kabisa ya kuomba. Katika somo hili,…
JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA NADHIRI - Innocent Morris
Send a textKaribu ujifunze jinsi ya kuomba maombi ya nadhiri.Katika somo hili utajifunza namna sahihi ya kibiblia ya kuomba maombi haya, utajifunza mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kufanya maombi…
SIRI TANO ZA KUOMBA MAOMBI YENYE NGUVU - Innocent Morris
Send a textJe, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya maombi hujibiwa na mengine hayajibiwi? Je, unatamani kuwa na maisha ya maombi yenye nguvu na yenye matokeo? Ikiwa umechoka kuomba maombi yasiyo na…
MAOMBI YA UJAZO WA ROHO MTAKATIFU
Send a textJe, unatamani kujazwa na nguvu ya Roho Mtakatifu ili maisha yako ya kiroho yabadilishwe kabisa? Je, umekuwa na kiu ya kupokea kipawa cha Roho Mtakatifu na kutamani kunena kwa lugha mpya?…
MAOMBI YA UKOMBOZI KWA DAMU YA YESU | Deliverance Prayers - Innocent Morris
Send a textMAOMBI YA UKOMBOZI KWA DAMU YA YESU | Deliverance Prayers - Innocent MorrisKaribu kwenye maombi haya ya ukombozi kwa Damu ya Yesu Kristo.Damu ya Yesu ina nguvu ya kuleta uponyaji, uhuru,…
MAOMBI YA KUOMBA MUNGU AWE PAMOJA NAWE - Innocent Morris
Send a textMAOMBI YA KUOMBA MUNGU AWE PAMOJA NAWE - Innocent MorrisKaribu katika maombi haya ili kuomba Mungu awe pamoja nawe katika kila eneo la maisha yako. Tunamhitaji sana Mungu katika maisha…
MAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent Morris
Send a textMAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent MorrisKatika maombi haya tutamwomba Mungu atujalie roho ya unyenyekevu. Kupitia maombi haya, tunaweka mioyo yetu mbele za Bwana tukijifunza…
Innocent Morris - Umuhimu wa Kuanza Siku na Bwana.
Send a text Katika episode hii, Mtumishi Innocent Morris anafundisha juu ya umuhimu wa kuanza siku yako pamoja na Bwana. Ujumbe huu unaleta mwanga juu ya nafasi ya Mungu katika kila mwanzo wa siku…
Faida Za Kukaa Kwenye Uwepo wa Mungu
Send a textUbarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Sita)
Send a textUbarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: https://www.youtube.com/@holyspiritconnectContact:…
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Tano)
Send a textUbarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Nne)
Send a textUbarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Tatu)
Send a textUbarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Jinsi ya Kukua Kiroho (Sehemu ya Pili)
Send a textUbarikiwe sana.Innocent Morris+255652796450 (WhatsApp)Instagram Page: holyspiritconnectFacebook Page: Holy Spirit ConnectYouTube Link: Holy Spirit Connect Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Frequently Asked Questions
Innocent Morris has published 110 episodes since March 2022, covering topics in Christianity, Education.
Innocent Morris is currently sporadic with new episodes weekly. Average episode length is 21m.
Similar Podcasts
Innocent Morris
Innocent Morris
119 episodes
Pastor Tony Kapola
Pastor Tony Kapola
1,098 episodes
Pastor Neema Tony Osborn
Pastor Neema Tony Osborn
136 episodes
Yesu Ndiye Njia
HOPE FM
104 episodes
LOVE UNTOLD PODCAST
love untold podcast
65 episodes
Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)
Maranga Amos Atima
73 episodes