MAELEZO PODCASTS
Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO)
Publishing Details
Contact & Outreach
About This Podcast
Sikiliza MAELEZO PODCASTS (Podcasts za Kiswahili kutoka Idara ya Habari MAELEZO, Tanzania) kupata taarifa na matukio mbalimbali nchini Tanzania. Idara ya Habari (MAELEZO) ipo chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, mipango na miradi ya maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya Sera na Sheria za habari.
Podcasting 2.0 Features
Explore Statistics
Recent Episodes
S2E6 Balozi Matinyi: Fursa, Ushirikiano kati ya Algeria na Tanzania
Send us Fan MailMheshimiwa Balozi Mobhare Matinyi akizungumza mara baada ya kukabidhi hati zake za utambulisho wa kibalozi kwa Mheshimiwa Abdelmadjid Tebboune, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu…
S2E5 Balozi Kombo Aeleza Umuhimu wa Ziara ya Rais Samia katika Kuimarisha Mahusiano ya Tanzania na Urusi
Send us Fan MailMkutano na Waandishi wa Habari kuhusu ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan nchini Urusi katika Ukumbi wa Mikutano wa…
S2E4 Miaka 10 ya BMH: Jinsi Hospitali ya Benjamin Mkapa Ilivyobadilisha Huduma za Kibingwa Tanzania
Send us Fan MailHospitali ya Benjamin Mkapa ni hospitali ya rufaa ya kanda iliyopo jijini Dodoma, iliyoanzishwa kwa lengo la kutoa huduma za kibingwa ambazo kwa sasa zipo 20 na ubingwa bobezi zipo 17…
S2E3 Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa Mwaka wa Fedha 2026/2027 (Mei 4, 2026)
Send us Fan MailWaziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, akiwasilisha makadirio ya bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027, Mei 4, 2026, bungeni, jijini Dodoma.Support…
Hotuba ya Mhe. Rais Samia na Mhe. Rais, Paul Kagame, Mei 03, 2026
Send us Fan MailRais wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame, amefanya ziara ya siku moja nchini Tanzania, akizungumza na mwenyeji wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,…
S2E2 Hotuba ya Rais, Dkt. Samia Kwenye Kongamano la Biashara Baina ya Tanzania na Kenya, Mei 4, 2026
Send us Fan MailRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Kongamano la Biashara baina ya Tanzania na Kenya (Tanzania & Kenya Business Forum 2026), tarehe…
S2E1 Elimu kuhusu ugonjwa wa Seli Mundu na Dkt. Catherine Mhando
Send us Fan MailPata ufahamu sahihi kuhusu chanzo, dalili, matibabu pamoja na kinga ya ugonjwa wa Seli Mundu (Sickle Cell) na Dkt. Catherine Mhando wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma.Support the…
S1E15 Buriani Benjamin mkapa (Julai 25, 2020)
Send us Fan MailSupport the showMsemaji Mkuu wa Serikali
S2E10 Elimu kwa umma kuhusu zoezi la SENSA YA WATU NA MAKAZI (2022)
Send us Fan MailMatokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 ni kwa ajili ya mipango jumuishi na maendeleo endelevu ya nchi na yataongeza uwazi katika kugawa rasilimali zilizopo kuendana na…
Frequently Asked Questions
MAELEZO PODCASTS has published 9 episodes since January 2026, covering topics in Education, Government.
MAELEZO PODCASTS is currently highly active with new episodes weekly. Average episode length is 26m.
Sign up on Grep.FM to access contact details for MAELEZO PODCASTS, including email and social media links.
Similar Podcasts
TANAPA PODCAST
Tanzania National Parks (TANAPA)
16 episodes
TCRA Tanzania
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
10 episodes
TCRA Tanzania
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)
10 episodes
Mzuka Kibao TV
Mzuka Kibao TV
200 episodes
Mzuka Kibao TV
Mzuka Kibao Tv
199 episodes
AfroWay - Soul From The East
Afroway Entertainment
25 episodes