Publishing Details
Contact & Outreach
About This Podcast
Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) is a statutory regulatory body responsible for regulating the electronic and postal communication sector in Tanzania. It was established under the Tanzania Communications Regulatory Authority Act, No.12 of 2003, which merged the Tanzania Communications Commission (TCC) and the Tanzania Broadcasting Commission (TBC).
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni taasisi iliyoasisiwa kwa mujibu wa sheria yenye wajibu wa kudhibiti sekta ya mawasiliano ya Kielektroni na Posta Tanzania. Ilianzishwa kwa Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) namba 12 ya mwaka 2003, ambayo iliunganisha zilizokuwa Tume ya Mawasiliano Tanzania (TCC) na Tume ya Utangazaji Tanzania (TBC).
Podcasting 2.0 Features
Explore Statistics
Recent Episodes
Mawasiliano ni Fursa: Gari la Mtambo (Mobile Monitoring Radio Frequency Station)
Ungana nasi kufahamu juu ya kazi ya gari la mtambo wa usimamizi wa masafa kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).Unaweza kufuatilia kipindi cha Mawasiliano ni Fursa kupitia chaneli ya YouTube…
Matumizi ya Akili Unde (Artificial Intelligence) Katika Zama za Kidijiti
Fahamu Matumizi ya Akili Unde (AI) Katika Zama za Kidijiti” kupitia ufafanuzi uliotolewa na Mtaalamu wa Masuala ya Akili Unde (Artificial Intelligence - AI) na Mwanzilishi Mkuu wa Mfumo wa AI wa…
Dondoo za Kutambua Taarifa Feki Mtandaoni
TCRA imepata nafasi ya kujadiliana na Nuzulack Dausen, ambaye ni mwandishi wa habari mwenye tuzo nyingi kutoka Tanzania na Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Nukta Africa na Nukta Habari, akibobea katika…
Usimamizi wa Huduma za Posta Tanzania (Sehemu ya Pili)
Katika sehemu ya pili ya kipindi hiki cha huduma za posta, TCRA inatoa elimu kuhusu haki na wajibu wa mtoa huduma na mtumiaji wa huduma za posta nchini. Kipindi hiki hujadili pia anuani makazi (post…
Usimamizi wa Huduma za Posta Tanzania (Sehemu ya Kwanza)
TCRA inahakikisha uwapo wa huduma za posta zenye kuaminika, usalama, ufanisi na bei nafuu ndani ya Jamhuri ya Tanzania.Ungana nasi katika kipindi hiki kufahamu utaratibu na kanuni za utoaji wa huduma…
Uidhinishwaji wa Vifaa vya Mawasiliano ya Kielektroniki
TCRA huidhinisha vifaa vya Mawasiliano ya Kielektroniki kwa mujibu wa Sheria Kifungu Na. 83 (1) na (2) cha Sheria ya Mawasiliano ya Kieletroniki na Posta ya Mwaka 2010. Uidhinishwaji huo ni…
TCRA Zanzibar: Majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano, Ofisi ya Zanzibar
Sheria Na. 12 ya mwaka 2003 iliyoianzisha TCRA inaipa Mamlaka wajibu katika majukumu mbalimbali ikiwemo; kukuza ushindani bora na uchumi wenye tija; kulinda maslahi ya watumiaji; kulinda mitaji ya…
Taarifa ya Sekta ya Mawasiliano: Januari - Machi, 2025
Karibu katika wasaa wa kusikiliza ripoti hii inayowasilisha takwimu za sekta ya mawasiliano za robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/2025. Kwa ujumla, ripoti inatoa takwimu za mawasiliano ya simu, pesa…
Wasichana katika TEHAMA, 2025: Mageuzi Jumuishi ya Kidijiti
Siku ya Kimataifa ya Wasichana katika TEHAMA (International Girls in ICT Day) huadhimishwa kila Alhamisi ya nne ya mwezi Aprili kila mwaka. Hii inafuatia makubaliano ya nchi wanachama wa Shirika la…
S1E1 Jamii Yetu: Zanzibar - Mawasiliano na Maendeleo ya Kilimo
Mawasiliano huleta faida mbalimbali katika maisha ya kila siku. Kipindi hiki kinaelezea yaliyojiri katika kilimo cha karafuu na namna mawasiliano huchochea kilimo hiki katika kisiwa cha Zanzibar.Kwa…
Frequently Asked Questions
TCRA Tanzania has published 10 episodes since March 2025, covering topics in Government.
TCRA Tanzania is currently dormant with new episodes every 2 weeks. Average episode length is 14m.
Sign up on Grep.FM to access contact details for TCRA Tanzania, including email and social media links.