MAISHA na Koleman Thompson
Koleman Thompson
Publishing Details
About This Podcast
Explore Statistics
Recent Episodes
S1E7 7. Sean Olson na Mzungu Mswahili | Two Americans do a Podcast in Swahili
Jiunge nasi tunavyozungumzia kwa nini tunapenda Kiswahili na utamaduni wa Afrika. Mfuatilie Sean kwenye TikTok @seanolson0237 na unifuatilie mimi kwenye TikTok @mzungu_mswahili
6. Lizbeth Leonard | Maisha ya Vijana wa Tanzania
Lizbeth Leonard ni mtu mzuri sana ambaye anampenda Mungu na familia yake sana. Nilibarikiwa sana kuishi na yeye na familia yake wakati ambao nilikuwa Tanzania. Aliboresha maisha yangu sana kwa mfano…
5. Mwalimu Vinold John | Utamaduni na Lugha ya Waswahili
Vinold John ni mwalimu bora kabisa na nimefurahi kujifunza kutoka kwake mara kwa mara kwenye progamu hii hapa Tanzania. Anapenda sana kufundisha kuhusu utamaduni na lugha ya Waswahili. Katika kipindi…
S1E4 4. Erick Mwasha | Kuishi Maisha ya Furaha
Jiunge na mimi na Rafiki yangu Erick tukizungumzia masuala makubwa ya maisha kama vile umuhimu wa kuwasaidia watu wengine, changamoto za maisha katika Tanzania, na kuishi vizuri na wengine!
S1E3 3. Fredrick Charles | Maana ya Maisha na Umuhimu wa Amri za Mungu na Mpango Wake
Katika kipindi hiki, Fredi na mimi tulizungumzia maana ya maisha kidini na kijamii. Fredi ni rafiki yangu mpya hapa Tanzania. Yeye ni mtu mwema sana na ana mawazo mazuri mengi kushiriki. Anapenda…
S1E2 2. Grace Neema Lubango | Majaribu Magumu ya Maisha na Tofauti Kati ya Maisha ya Tanzania na Marekani
Grace Neema Lubango ni rafiki yangu mwema. Alilelewa Tanzania na akahamia Marekani miaka kadhaa iliyopita. Katika kipindi hiki tulizungumzia sana tofauti kati ya maisha yake Tanzania na maisha yake…
S1E1 1. Kujitambulisha Kwangu, Dhumuni la Podkasti hii, na Historia Kidogo ya Maisha Yangu
Katika episode hii, najitambulisha na kueleza dhumuni la podcast hii. Naeleza jinsi nilivyopata kujifunza Kiswahili na pia miujiza michache ambayo Mungu amenitendea katika maisha yangu. Asante kwa…
Frequently Asked Questions
MAISHA na Koleman Thompson has published 7 episodes since June 2024, covering topics in Education, Self-Improvement.
MAISHA na Koleman Thompson is currently dormant with new episodes every 2 weeks. Average episode length is 58m.
Similar Podcasts
Muslim Recharge 🇰🇪🇹🇿
Next Gen Muslim Network
12 episodes
The Insightful Podcast Show (TIPS)
Carlton
53 episodes
Innocent Morris
Innocent Morris
119 episodes
The Insightful Podcast Show (TIPS)
Carlton
52 episodes
Muslim Recharge 🇰🇪🇹🇿
Next Gen Muslim Network
11 episodes
Uplifting Moment with Luphurise Mawere
Luphurise Lema
97 episodes