Maisha Ni Kuthubutu Podcast

Maisha Ni Kuthubutu Podcast

Innocent Ngaoh

Episodes 117
Avg. Duration 13m
Activity Dormant
Since Jun 2021
Latest Episode Apr 2025

Publishing Details

Schedule
Weekly
Format
Episodic
Hosting
anchor.fm

Contact & Outreach

About This Podcast

Podcast mahususi kujifunza mambo ya maendeleo binafsi (Personal development/Self-improvement), maisha, mahusiano, saikolojia na elimu ya fedha. Ni podcast ya kipekee ambayo utajifunza mambo mengi ambayo yanatokea kwenye maisha yetu ya kila siku, kila kitu kinachozungumzwa hapa kina uhalisia na siyo nadharia ya kusadikika. Kuwa sehemu ya familia hii na uhakika hautakuwa kama ulivyokuwa mwanzo, podcast ambayo itaboresha na kuongeza thamani ya maisha yako mara 10X au zaidi. Hakikisha unafollow ili uwe wa kwanza kupata episode mpya kila wiki.

Explore Statistics

Recent Episodes

S5E6 Je Unataka Kuwekeza Katika Hisa? Pata Elimu Ya Hisa Hapa-Part 01

Apr 14, 2025 8m

Je wewe ni mwanahisa na una hisa zozote unamiliki katika soko la DSE?Kama jibu lako ni hapana.Basi…Ndio muda sahihi wa kuanza kuwekeza katika hisa ili ufaidikie na faida kubwa mbili;1. Ongezeko la…

S5E5 Siri 02 Za Kuanza KUJIUZA Ili Ufanikiwe Kwenye Maisha Yako Ni Kujiuza…!

Mar 18, 2025 7m

Jifunze mbinu za Kujiuza kupitia episode ili upige hatua kwenye maisha yako.Sikiliza mpaka mwisho episode hii.

S5E4 Tumia Kanuni Ya 40/20/10/10/10/10 Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako…!

Mar 15, 2025 10m

Kanuni ya 40/20/10/10/10 itakusaidia kuanza kupanga bajeti ya fedha zako kwa mafanikio.Sikiliza episode hii mpaka mwisho kujifunza.

S5E3 Siri 02 Za Kuwa Mwekaji Mzuri Wa Akiba Ya Fedha Zako…!

Jan 30, 2025 6m

Upo tayari kujua Siri za kuwa mwekaji mzuri wa akiba za fedha zako? Basi sikiliza episode hii mpaka mwisho

S5E3 Sehemu 06 Za Kuanza Kuwekeza Fedha Zako Kwa Mafanikio…!

Jan 26, 2025 15m

Hizi sehemu 06 ambazo unaweza kuanza kuwekeza akiba yako ili ikuzalishie zaidi.

S5E1 Jinsi Ya Kuweka Akiba Kwa Mafanikio Mwaka 2025…!

Jan 21, 2025 11m

Je unataka kujua kwa namna gani unaweza kuweka akiba kwa mafanikio mwaka 2025?Episode hii itakueleza mbinu 04 ambazo ukianza kuzifanyia kazi basi utakuwa mwekaji mzuri wa akiba.Usikubali mwaka 2025…

S3E50 Tumia Kanuni Ya 40/30/20/10 Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako...!

Aug 13, 2024 8m

Anza kuelekea uhuru wako wa kifedha Kwa Kuanza Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako Kwa kutumia Kanuni ya 40/30/20/10.

S3E48 Maneno 04 Ambayo Ukianza Kutumia Leo Yatafanya Ukubalike Zaidi...!

Jul 30, 2024 9m

Maneno Yako Yana nafasi kubwa ya kufanya Ukubalike au ukataliwe kwenye eneo lolote. Sikiliza episode hii ujue maneno 04 Ambayo Yatafanya Ukubalike Zaidi.

S3E47 Jinsi Ya Kuweka Akiba Ya Fedha Zako...!

Jul 23, 2024 12m

Anza kuweka akiba Leo kama unajali kesho na future Yako. Sikiliza episode hii mpaka MWISHo ujue kila kitu Kuhusu namna ya kuweka akiba

S3E46 Tumia Kanuni Ya 70/20/10 Kulipa MADENI Yako Na Kuweka Akiba Ya Fedha Zako...!

Jul 16, 2024 8m

Je Unataka Kulipa MADENI Yako na wakati huohuo unaweka akiba ya fedha zako? Basi sikiliza episode kujua Kanuni ya 70/20/10

S3E45 Tumia Kanuni Ya 50/10/10/10/10/10 Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako...1

Jul 10, 2024 9m

Kanuni ya 50/10/10/10/10/10 itakusaidia Kuanza Kupanga Bajeti Ya Fedha Kiurahisi. Anza kuitumia Leo.

S3E44 Hivi Unajua Wewe Una Nguvu Ya Sumaku Ndani Yako...?

Jul 04, 2024 5m

Inakushangaza kusikia kauli ya kuwa "WEWE NI SUMAKU" sikiliza episode hii ujifunze na uje ukweli wote.

S3E43 Sehemu Tatu (03) Ambazo Hupaswi Kuweka Akiba Yako Ya Malengo Ya Muda Mrefu...!

Jun 30, 2024 7m

Kama unajali kesho Yako na kuelekea uhuru wa kifedha basi suala la kuweka akiba ni lazima. Lakini.... Kuna makosa ambayo wengi hufanya Katika uwekaji wa akiba zao na pengine na wewe…

S3E42 Tumia Kanuni Ya 60/10/10/10/10 Kupanga Bajeti Ya Fedha Zako.

Jun 02, 2024 9m

Haijalishi wewe ni mpambanaji kiasi gani kama hauna msingi mzuri wa elimu ya fedha. Basi kuna uwezekano mkubwa utapambana sana ila kiuchumi inakuwa vigumu kukua. Kwa sababu... Umekosa nidhamu ya…

S3E41 Sifa 04 Zinazonyesha Wewe Ni MNYENYEKEVU Kwenye Maisha Yako...!

May 05, 2024 10m

Hivi unajua nguvu ya unyenyekevu kwenye maisha yako? Basi fahamu sifa 04 za mtu mnyenyekevu kupitia episode hii.

S3E39 Njia Rahisi Ya Kujenga Uwezo Wa Kujiamini Ndani Ya Dakika 3...!

Apr 19, 2024 6m

Unahitaji sana kujiamini kuliko unavyofikiri, episode ya dakika 6 itakusaidia kuongeza uwezo wa kujiamini kwa njia rahisi kabisa.

S3E38 Kama Haupendi Kusoma VITABU Fanya Hivi Kupata Maarifa Kiurahisi...!

Apr 14, 2024 8m

Upende au usipende unahitaji sana maarifa na taarifa kupitia kujifunza, umejaribu kusoma vitabu umeshindwa? Basi episode hii itakusaidia kujua sehemu gani rahisi unaweza kupata maarifa kiurahisi…

S3E37 Namna Rahisi Ya Kujenga NIDHAMU YA KAZI Na Ufanikiwe Zaidi Maishani...!

Apr 09, 2024 7m

Hivi unajua Nidhamu ya kazi ndiyo inatofautisha wafanyakazi makini na wafanyakazi wakawaida. Kiwango cha mafanikio yako inategemea Sana kiwango cha nidhamu binafsi.

S3E36 Zijue Aina 05 Za Nidhamu Zenye Kuleta Mafanikio Makubwa...!

Apr 02, 2024 10m

Hivi unajua Kiwango Cha Mafanikio Yako inategemea sana na Kiwango Cha Nidhamu Yako. Kupitia episode hii utajua Aina Tano za Nidhamu Zenye Kuleta matokeo Makubwa kama utazingatia na kuziishi kwenye…

S3E35 Jinsi Ya KUJITAMBULISHA DM Au Kwenye Text Kwa Mara Ya Kwanza Unapomtafuta Mtu Yoyote.

Mar 14, 2024 8m

Kama wewe ni wale ambao unawatumia watu DM au text za kawaida Kwa Mara ya Kwanza kama vile "Niaje, Mambo, Vipi, Shwari Mkuu, Harakati Ni Vipi Kiongozi, Mrembo mambo n.k" Tambua unakosea sana Tena…

Frequently Asked Questions

How many episodes does Maisha Ni Kuthubutu Podcast have?

Maisha Ni Kuthubutu Podcast has published 117 episodes since June 2021, covering topics in Education, Self-Improvement.

Is Maisha Ni Kuthubutu Podcast still active?

Maisha Ni Kuthubutu Podcast is currently dormant with new episodes weekly. Average episode length is 13m.

How do I contact Maisha Ni Kuthubutu Podcast for sponsorship or guest appearances?

Sign up on Grep.FM to access contact details for Maisha Ni Kuthubutu Podcast, including email and social media links.

Similar Podcasts