Nyumba ya Sanaa

Nyumba ya Sanaa

RFI Kiswahili

Episodes 24
Avg. Duration 20m
Activity Highly Active
Since Mar 2025
Latest Episode Apr 2026

Publishing Details

Schedule
Every 2 Weeks
Format
Episodic
Consistency
13%
Hosting
apis.rfi.fr

Contact & Outreach

About This Podcast

Nyumba ya Sanaa ni Makala ya  Utamaduni ambayo inatoa fursa  kwa wasanii  na wadau wa sanaa kuwasilisha maoni yao kwa ajili ya maendeleo ya kweli ya Afrika na dunia kwa ujumla, tukiwa na lengo la kudumisha na kuendeleza tamaduni nzuri katika mwingiliano wa tamaduni uliopo, tukizingatia maisha ya kisasa na utandawazi kwa ujumla.

Explore Statistics

Recent Episodes

Tanzania: Singeli na Mima

Apr 11, 2026 19m

Wikendi kwenye makala ya nyumba ya sanaa, Mwandishi wetu Steven Mumbi aangazia muziki wa singeli na Mima.

Sanaa ya mjukwani

Apr 04, 2026 20m

Wiki hii tunaangazia sanaa ya majukwani.

Uchoraji msimu wa siku kuu

Mar 28, 2026 19m

Sanaa ya uchoraji wakati wa sherehe za siku kuu katika visiwa vya Zanzibar.

Uigizaji Filamu na Wastara

Mar 07, 2026 20m

Uigizaji Filamu na Wastara kutoka nchini Tanzania.

Sanaa ya uchongaji

Nov 15, 2025 20m

Steven Mumbi anaangazia sanaa ya uchongaji jijini Dar es Salaam nchini Tanzania.

Real Jofu kuhusu Bongo Fleva

Nov 01, 2025 20m

Steven Mumbi amezungumza naye msani Real Jofu kuhusu muziki wa Bongo Fleva.

Nyumba ya sanaa: Muziki wa densi visiwani Zanzibar

Sep 20, 2025 20m

Katika Makala ya wiki hii tunaangazia safari ya muziki wa densi visiwani Zanzibar.

Vijana wa Goma wajituma kuimarisha sanaa ya muziki na utamaduni wa Afrika

Sep 17, 2025 20m

Makala ya wiki hii imeangazia namna wasanii wanaoishi katika maeneo yenye vita mashariki mwa DRC wanavyojituma katika kuimarisha sanaa ya muziki na utamaduni wa Afrika. Mwandishi wetu Ruben Lukumbuka…

Miaka 30 ya safari ya msanii Mack el Sambo mjini Goma mashariki mwa DRC

Aug 30, 2025 20m

Hii leo ninaungana na mwenzangu Ruben Lukumbuka ambaye hivi karibuni alitembelea mji wa Goma ambako alikutana na wasanii kadhaa ambao wamo mbioni katika kuhamasisha Amani na mshikamano wa jamii…

Wanamuziki mjini Goma walazimika kufanyia muziki katika nchi jirani

Aug 02, 2025 20m

Mji wa Goma mashariki ya DRC unakabiliwa na changamoto baada ya waasi wa M23 kuuchukua mji huo sasa wanamuziki wanalazimika kwenda nchi jirani kufanya Muziki. Tumezungumza naye msani Sisco laga.

Sanaa ya utunzi wa vitabu nchini Tanzania na Leticia Ndanzi Bubelwa

Jul 26, 2025 20m

Imezoeleka ukisikia Utunzi wa Vitabu utawazia Vitabu vya Riwaya,Tamthilia ama Hadithi ,kutana na Leticia Ndanzi Bubelwa Mtunzi wa Vitabu vya Shajara ama kwa kimombo Journals.

Sanaa ya Muziki na Hamis Bss

Jul 19, 2025 20m

Sanaa ya Muziki na Hamis Bss kutoka nchini Tanzania

Tanzania: Sanaa ya uiigizaji na Lumole Matovolwa

Jul 12, 2025 20m

Lumole Matovolwa ni Miongoni mwa waigazi wa filamu ya kwanza ya Kibiashara nchini Tanzania ya Girl Friend amezungumza na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.

Muziki wa Singeli nchini Tanzania

Jul 05, 2025 20m

Muziki wa asili hubeba ujumbe unaoakisi Utamaduni wa Jamii ,kwa Tanzania Muziki wa Singeli unatajwa kuakisi Utamaduni wa Kitanzania, Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa…

Muziki wa RNB nchini Tanzania

Jun 21, 2025 20m

Wanamuziki wachanga wajigamba kuinua muziki wa RNB kufikia malengo,Ungana na Shine 9  katika Mkala ya Nyumba ya Sanaa

Sanaa ya muziki wa kizazi kipya na msani Eddy Music

Jun 14, 2025 20m

Safari ya Muziki wa kizazi kipya inaanzia mbali,sasa vijana wanalazimika kusafiri kutoka Mikoani kuja jijini Dar es salaam ili kufaulu kisanaa, Eddy Music ni msanii wa Muziki anazungumza na Steven…

Msanii Real Jofu asema amejifunza kuwa mvumilivu baada ya kuondoka jela

Jun 07, 2025 20m

Mara baada ya kutoka Jela Msanii Real Jofu anasema amejifunza kuwa mvumilivu ili kufikia malengo,Ungana na Steven Mumbi kaktika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na Msanii huyo.

Muziki wa dansi na ule wa kizazi kipya nchini Tanzania

May 24, 2025 20m

Mwandishi Steven Mumbi anaangazia muziki wa dansi na ule wa kizazi kipya nchini Tanzania.

Msanii sweet Brown wa Beni DRC na mziki wa jamii

May 10, 2025 20m

Sanaa ya muziki ni dawa inayofariji na kusaidia kutuma ujumbe wa amani kwa jamii amesema msanii wa miondoko mchanganyiko Gloire Tsongo almaarufu sweet Brown fresh Leader mjini Beni katika mkowa wa…

Sanaa ya Ufumaji inayotumia uzi kufuma Mavazi ya aina mbalimbali

May 03, 2025 20m

Sanaa ya Ufumaji ni sanaa ya Mikono inayotumia uzi kufuma Mavazi ya aina mbalimbali, kutana na Farida na Esther wasanii wanaofanya saa hizo walipozungumza na Steven mumbi katika Makala ya Nyumba ya…

Frequently Asked Questions

How many episodes does Nyumba ya Sanaa have?

Nyumba ya Sanaa has published 24 episodes since March 2025, covering topics in Arts.

Is Nyumba ya Sanaa still active?

Nyumba ya Sanaa is currently highly active with new episodes every 2 weeks. Average episode length is 20m.

How do I contact Nyumba ya Sanaa for sponsorship or guest appearances?

Sign up on Grep.FM to access contact details for Nyumba ya Sanaa, including email and social media links.

Similar Podcasts