Publishing Details
Contact & Outreach
About This Podcast
www.watushule.com
Explore Statistics
Recent Episodes
S1E10 Kuwa na watu wengi wa karibu haimaanishi wengi watakuwa na umuhimu kwako.
Kanuni ya ufanisi wa Pareto inasema asilimia themanini ya matunda inatokana na asilimia ishirini ya mbegu au juhudi. Hii ni kwenye kazi, biashara, mahusiano au afya yako. This is a public episode. If…
S1E9 Pesa inazaa pesa. Na pesa inayozaa pesa huzaa pesa zaidi.
Pesa, ujuzi na mahusiano vinahitaji kukua. Na namna bora zaidi ya ukuaji ni kwa mfumo wa riba juu ya riba kwa pesa, ujuzi juu ya ujuzi na mahusiano juu ya mahusiano. Hili ni wazo la compounding…
Watu wengi kufanya jambo fulani haimaanishi hilo jambo ni sahihi.
Watu wengi tunafanya maamuzi binafsi kwa kufuata mkumbo wa watu. Tunaogopa kufanya maamuzi yetu au tunakubali kufanya maamuzi ya familia na jamii kwa kuogopa kuoishana nao.Madhara ya maamuzi hayo…
S1E7 Usitafute mafanikio. Tafuta njia za kutokufeli
Kuna vitu vingi sana vinahitajika kutokea kwenye maisha kuketa mafanikio. Na vitu hivi havipo kwenye uwezo wetu muda mwingi. Lakini kuna vitu vingi sana ambavyo vinafelisha watu, hivi vitu ni rahisi…
Malengo yanakusaidia kuanza. Mifumo inakusaidia kumaliza.
Wengi wanaishi na ndoto ambazo hazina malengo. Wenye malengo hawana sababu yenye nguvu zaidi kuwafanya wavumilie mambo yakiwa magumu. Wenye sababu hawana mfumo mzuri wa kutimiza malengo hayo. Episode…
Kuna tofauti kati yako na kazi yako
Katika episode hii ya Watushule, ninatafakari maana ya kazi kupitia hatua mbalimbali za maisha.Kutoka kazi za shambani utotoni, kuuza matunda na mboga kwa ajili ya pesa ya matumizi, hadi maisha ya…
S1E4 Kutokuwa na ugonjwa haimaanishi una afya
Nini maana halisi ya kuwa na afya?Katika kipindi hiki cha Watushule, natafakari maisha ya bibi yangu Anna, ambaye aliendelea kuwa mwenye nguvu, mwenye bidii, na mwenye utulivu wa ndani hata hadi…
S1E3 Mahusiano ni muhimu sana kwenye maisha, na bado ndio chanzo cha maumivu makubwa sana kwa watu.
Mahusiano ni muhimu zaidi kwenye maisha, na ndio yenye changamoto zaidi maishani.Kwenye episode hii ya Watushule Podcast tunaangalia misingi mikuu ya mahusiano: Familia, marafiki na mapenzi.Kwa…
Mambo Muhimu Maishani Huja kwa Utatu, Lakini Maisha Huja Mara Moja Tu
Kipindi cha 2: Mambo Muhimu Maishani Huja kwa Utatu, Lakini Maisha Huja Mara Moja TuKatika kipindi hiki cha Watushule, tunaacha Kidogo Kungwi’s kwa undani zaidi katika nguzo tatu za maisha —…
S1E1 Vitu vya muhimu kwenye maisha vinaonekana kuja kwa tatu
This is a public episode. If you would like to discuss this with other subscribers or get access to bonus episodes, visit www.watushule.com
Frequently Asked Questions
Watushule Swahili Podcast has published 10 episodes since March 2026, covering topics in Arts, Education.
Watushule Swahili Podcast is currently highly active with new episodes weekly. Average episode length is 23m.
Sign up on Grep.FM to access contact details for Watushule Swahili Podcast, including email and social media links.
Similar Podcasts
Ibada Podcast
An Employed Youth
129 episodes
Link With Podcast
IAA MEDIA
12 episodes
Pastor Tony Kapola
Pastor Tony Kapola
1,098 episodes
Kiswahili Kitukuzwe - Afrika Imara (Swahili Podcast)
Maranga Amos Atima
73 episodes
MAELEZO PODCASTS
Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO)
9 episodes
Pastor Neema Tony Osborn
Pastor Neema Tony Osborn
136 episodes