Publishing Details
Contact & Outreach
About This Podcast
Explore Statistics
Recent Episodes
S2026E20 Wimbo: Oktoba 29 HATUTOSAHAU
Wimbo maalum kuwaenzi mashujaa waliouawa Oktoba 29, 2025
S2026E19 Nchimbi Yuko Wapi?
Je Dokta Nchimbi Yupo Wapi?
S2026E18 Hatari Kubwa Sana
Hatari Kubwa Sana
S2026E17 Mtafaruku Mkubwa
Mtafaruku Mkubwa
S2026E15 Hujuma Dhidi ya LISSU
Hujuma nzito dhidi ya Tundu Lissu na Chadema
S2026E14 Magaidi WATANZANIA Wakamatwa
Magaidi Kadhaa Kutoka Tanzania Wakamatwa Nchini SomaliaAngalia video kamili hapa https://youtu.be/1LVIB51qQPY
S2026E13 MTAFARUKU MKUBWA
Mtafaruku Mkubwa
S2026E12 SAMIA vs WARIOBA
SAMIA SULUHU HASSAN amemshukia vikali Jaji Josef Sinde Warioba kufuatia Jaji Warioba kuongelea yaliYojiri Oktoba 29 na siku zilizofuata ambapo ripoti zinaeleza kuwa maelfu ya Watanzania walichinjwa…
S2026E11 SAMIA Lobbying USA
BREAKING NEWS: SAMIA Asaini Mkataba wa Shilingi BILIONI 2.7 Kumsafisha MAREKANI!SAMIA SULUHU HASSAN amesaini mkataba wenye thamani ya SHILINGI BILIONI 2.7 na kampuni moja ya LOBBYING ya nchini…
S2026E10 Good News SAMIA ICC
GOOD NEWS! Habari Njema NNE Kuhusiana na Kesi Dhidi ya SAMIA Huko ICC
S2026E9 Ubashiri Tanzania 2026
Ubashiri Kuhusu Yatakayojiri Mwaka Huu 2026 | SAMIA Hatoumaliza MadarakaniVideo kamili ipo hapa https://youtu.be/1JqbBG74LZ4
S2026E8 Hatari Kubwa
HATARI KUBWA! Mipango ya Mauaji Yawekwa HadharaniVideo kamili ipo hapa https://youtu.be/oxKIW0Tgmvo
S2026E7 SAMIA Ashinda Tuzo ya DIKTETA WA MWAKA 2025
SAMIA SULUHU HASSAN ameshinda tuzo ya kimataifa ya dikteta wa mwaka 2025, habari hii ni miongoni mwa LATEST NEWS zinazo trend nchini Tanzania na kote AFRICA. Video hii inachambua kwa undani ushindi…
S2026E6 Mpasuko Mkubwa
BREAKING! Mpasuko Mkubwa SANA Serikali ya SAMIA | Yaanza Kumong'onyokaVideo kamili ipo hapa https://youtu.be/Uf__2N5m7cg
S2026E5 SAMIA vs Kanisa Katoliki
SAMIA SULUHU HASSAN ameendeleza vita yake dhidi ya Kanisa Katoliki ambapo jana alituma genge la waandamanaji kwenda Ubalozi wa Vatican kulalamika dhidi ya viongozi wa Kanisa hilo. Miongoni mwa…
S2026E4 Samia na Mabilioni ya Maridhiano
Fedha ndefu imemwagwa na SAMIA SULUHU HASSAN kwa ajili ya kuwarubuni watu mbalimbali wakubali mpango wa maridhiano. Miongoni mwa wanaowindwa kwenye hilo ni viongozi waandamizi wa Chadema japo tayari…
S2026E3 Trump, Maduro na SAMIA
Wakati Rais DONALD TRUMP wa Marekani amemkamata Rais Nicolas MADURO na mkewe hapo jana, Mtanzania Thadei Kweka mwenye makazi yake nchini Marekani ambaye alikamatwa majuzi na kubambikiwa kesi ya…
S2026E2 Maria Sarungi Anusurika Kutekwa
Mwanaharakati maarufu MARIA SARUNGI amenusurika kutekwa nchini Kenya baada ya WASIOJULIKANA kuripotiwa kuwemo nchini humo wakimuwinda mwanaharakati huyo. Taarifa zinaeleza kuwa Wasiojulikana hao…
S2026E1 Hotuba Ya Samia Yazua Mtafaruku
Hotuba ya SAMIA SULUHU HASSAN kuaga mwaka 2025 na kukaribisha mwaka mpya 2026 imezua mtafaruku mkubwa. Wakati huohuo, mkakati muhimu wa kumng'oa umekumbwa na changamotoVideo kamili ipo hapa…
MAREKANI Yamjibu Vikali SAMIA
MAREKANI imemjibu SAMIA ambaye majuzi alizibipu nchi wahisani kwa kuwauliza wao ni nani hasa wa kuipangia Tanzania cha kufanya. Aliwauliza WHO ARE YOU?
Frequently Asked Questions
Chahali Podcast has published 126 episodes since February 2021, covering topics in News.
Chahali Podcast is currently dormant with new episodes hourly. Average episode length is 11m.
Sign up on Grep.FM to access contact details for Chahali Podcast, including email and social media links.
Similar Podcasts
Mzuka Kibao TV
Mzuka Kibao TV
201 episodes
Mzuka Kibao TV
Mzuka Kibao Tv
200 episodes
MAELEZO PODCASTS
Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO)
9 episodes
AfroWay - Soul From The East
Afroway Entertainment
25 episodes
SBS Swahili - SBS Swahili
SBS
881 episodes
Zone 69 Magazine
Zone 69 Magazine
52 episodes