Episodes 6
Avg. Duration 23m
Activity Dormant
Since Jun 2020
Latest Episode Mar 2023

Publishing Details

Schedule
Every 2 Weeks
Format
Episodic
Hosting
anchor.fm

Contact & Outreach

About This Podcast

Uwanja wakuzungumza mambo mbalimbali ya kuijenga jamii. Tutazungumza kwa uwazi na kwa kulenga kujenga zaidi nyanja mbalimbali za jamii kama vile; Mahusiano binafsi, urafiki, uchumba na ndoa, maadili ya jamii na fursa mbalimbali (Msingi ukiwa ni NENO la Mungu). Tutakuwa updated na mambo mengi yanayoendelea kwenye maisha kwa ujumla huku msingi mzuri ukiwa ni NENO. By ; Loureen Christian Production (LCP)

Explore Statistics

Recent Episodes

S2E3 MIPAKA KWENYE MAHUSIANO 3.

Mar 30, 2023 15m

Linda mipaka yako, kuwa wazi mpaka wapi watu wanaweza kuingia kwenye maisha yako, ukiona mtu anavuka mstari mwambie kabisa kwamba hapa hapana! Usijiongeze kuingia sana kwenye maisha ya mtu hakuna…

S2E2 MIPAKA KWENYE MAHUSIANO 2.

Mar 23, 2023 16m

Linda mipaka yako, kuwa wazi mpaka wapi watu wanaweza kuingia kwenye maisha yako, ukiona mtu anavuka mstari mwambie kabisa kwamba hapa hapana! Usijiongeze kuingia sana kwenye maisha ya mtu hakuna…

S1E4 KABLA HUJAANZISHA MAHUSIANO NA MTU AU KIJANA MWENZAKO, ANGALIA KWANZA MAHUSIANO YAKE NA MUNGU

Aug 25, 2020 37m

Ni vizuri sana kijana wa kike au wakiume anayemuamini Kristo, kuangalia sana mahusiano ya kijana na Mungu (yani kijana anayetaka kuingia naye kwenye mahusiano ya kiurafiki au kwa lugha nyepesi ya…

S1E3 KABLA HUJAANZISHA MAHUSIANO NA MTU AU KIJANA MWENZAKO, ANGALIA KWANZA MAHUSIANO YAKE NA MUNGU

Jul 29, 2020 27m

Ni vizuri sana kijana wa kike au wakiume anayemuamini Kristo, kuangalia sana mahusiano ya kijana na Mungu (yani kijana anayetaka kuingia naye kwenye mahusiano ya kiurafiki au kwa lugha nyepesi ya…

S1E2 VIPAUMBELE VYAKO VINAELEZA NINI KUKUHUSU!

Jun 30, 2020 38m

Mtu mmoja aliwahi kusema hatma sio kitu unachokiendea bali ni kitu unachokitengeneza unahitaji kuweka vipaumbele vyako sawa(set your priorities right) vipaumbele vyako vitahakisi kwa ufasaha kabisa…

S1E1 Utangulizi: Vijana Tuzungumze/ Introduction: Youth Lets talk

Jun 21, 2020 3m Trailer

Utangulizi wa kipindi maalumu kwa ajili ya vijana. Ukiwa na Mtangazaji wako au mwalimu wako Mrs Loureen Jaspin. Jiandae kujifunza mambo mbalimbali.

Frequently Asked Questions

How many episodes does Mrs Loureen J have?

Mrs Loureen J has published 6 episodes since June 2020, covering topics in Christianity, Religion & Spirituality.

Is Mrs Loureen J still active?

Mrs Loureen J is currently dormant with new episodes every 2 weeks. Average episode length is 23m.

How do I contact Mrs Loureen J for sponsorship or guest appearances?

Sign up on Grep.FM to access contact details for Mrs Loureen J, including email and social media links.

Similar Podcasts