Episodes 11
Avg. Duration 26m
Activity Highly Active
Since Mar 2023
Latest Episode Feb 2026

Publishing Details

Schedule
Monthly
Format
Episodic
Hosting
anchor.fm

Contact & Outreach

About This Podcast

Mungu amekusudia uishi maisha ya Ushindi kila siku, kupitia nguvu ya mafundisho ya Neno la Mungu, Roho na Maombi Pastor Clement Kingo anakusudia kukusaidia kuishi maisha ya Ushindi Kila Siku katika nyanja zote za maisha.

Explore Statistics

Recent Episodes

Ushindi huzaliwa katika vita - 02

Feb 15, 2026 44m

Unapitia vita, mapito?! Neno la Mungu linatuhakikishia Ushindi ni lazima kushindana, vita huzaa Ushindi. Utawala huanza na KUSHINDA. kumbuka mahali unapotaka Kutawala na kumiliki tayari Kuna…

Ushindi huzaliwa katika vita - 01

Feb 15, 2026 33m

Unapitia vita, mapito?! Neno la Mungu linatuhakikishia Ushindi ni lazima kushindana, vita huzaa Ushindi. Utawala huanza na KUSHINDA. kumbuka mahali unapotaka Kutawala na kumiliki tayari Kuna…

S1E1 Kijiwe Cha Wanaume- Nafasi ya Mwanaume

Aug 08, 2024 18m Bonus

Mazungumzo ya Wanaume, kwa ajili ya kujengana na kujifunza, maalum kwa ajili ya Wanaume.

S1E4 Kutenda kwa Hekima

Jun 12, 2023 15m

Mambo muhimu ya kuzingatia kabla ya kutenda, wakati wa kutenda na baada ya kutenda. Maisha yetu Ni jumla ya matendo tunayoyatenda, matokeo tulionayo ni jumla ya matendo tuliotenda na matokeo…

S1E3 Kuongea Kwa Hekima - Hekima Series 03

Mar 28, 2023 30m

Sio kila unachofikiria unasema, sio ilimradi umesema, unahitaji kupima na kuchagua maneno ya kusema. Jifunze Hekima katika kusema. - unaweza kuamua Nini Cha kusema - Amua kutawala kinywa Chako - Bora…

S1E1 Muhimu kusuhu Hekima - Hekima Series -01

Mar 22, 2023 17m

Umuhimu wa Hekima Hekima ni Nini? Wana wa nuru Mara nyingi hawatumii Hekima. Maeneo muhimu kutumia Hekima, Ndoa, malezi, Familia, Uchumi, kazi/biashara.. Utajuaje eneo gani unahitaji Hekima ya…

S1E2 Namna ya kupata Hekima - Hekima Series 02

Mar 22, 2023 20m

Vyanzo Saba vya Hekima..! Mambo Saba ya kukusaidia kupata Hekima...!

Hekima series - Trailer

Mar 22, 2023 1m Trailer

Trailer ya Hekima series, kwa kifupi kwanini ufuatilie Hekima series

S1E1 Namna ya kupata ulinzi wa Mungu!

Mar 20, 2023 27m

Tunahitaji Ulinzi wa Mungu,jifunze namna ya kupata ulinzi wa Mungu wakati wowote mahali popote

S1E2 Mungu ana Mpango

Mar 19, 2023 0m

Mungu hajamaliza kukuhusu wewe!

S1E1 Sitakuacha Sitakupungukia - Pastor Clement Kingo

Mar 19, 2023 1m

Mungu amehidi hatakuacha, hata sasa Mungu hatakuacha hatakungukia!

Frequently Asked Questions

How many episodes does Pastor Clement Kingo have?

Pastor Clement Kingo has published 11 episodes since March 2023, covering topics in Christianity, Religion & Spirituality.

Is Pastor Clement Kingo still active?

Pastor Clement Kingo is currently highly active with new episodes monthly. Average episode length is 26m.

How do I contact Pastor Clement Kingo for sponsorship or guest appearances?

Sign up on Grep.FM to access contact details for Pastor Clement Kingo, including email and social media links.

Similar Podcasts