Tenda Radio TZ Podcast
Podcast Intelligence Profile

Tenda Radio TZ Podcast

Tenda Radio TZ

Recently Active · Publishes every 2 weeks

Key Metrics

Episodes
8
In catalog
Apple Rating
No rating data
Apple rating count unavailable
Cadence
Every 2 Weeks
~every 14 days
Avg Length
15m
Per episode
Latest
Nov 16, 2025
Recently Active

About the Show

TENDA RADIO ni ‘podcast radio’ iliyojikita katika kuwafahamisha, kuwaelimisha na kuwahamasisha wasikilizaji kuhusu fursa za tenda za Serikali, na jinsi ya kupata fursa ya kujipatia fedha za ununuzi wa umma kupitia Mfumo wa NeST. 

Pia, maudhui haya yanaruka kupitia radio washirika wetu nchini Tanzania ikiwemo Radio Free Afrika, C-FM (Dodoma), A FM (Dodoma), Uyui FM (Tabora), Jembe FM (Mwanza) na nyingine.  

Imepewa nguvu na Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA). 

Production & Distribution

Active Since
Mar 20, 2024
Format
Episodic
Hosting
rss.buzzsprout.com

Recent Episodes

S1E12 MABILIONI YANAVYOTOLEWA KWA WATU WENYE ULEMAVU KUPITIA MFUMO WA NeST

Nov 16, 2025 15m

Zaidi Shilingi Trilioni 5 ya Tenda za serikali iliyotengwa kwa ajili ya makundi maalum yaani vijana, wanawake, wazee na watu wenye ulemavu inakusubiri wewe?Sikiliza msimu mpya wa Tenda Radio.…

S1E6 FURSA ZA SHERIA MPYA YA UNUNUZI WA UMMA, NEEMA NA ADHABU

Jul 18, 2024 15m

Tenda Radio imefanya mahojiano maalum na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Wakili Msomi Paul T. Kadushi, amefunguka fursa zinazopatikana kwenye sheria…

NeST ya MAMA SAMIA

Jul 02, 2024 4m

Artist: Amini Song Writer: Joseph MuhoziProducer: C9

S1E5 JINSI YA KUPATA KIASI CHA BAJETI MPYA YA SERIKALI KUPITIA MFUMO WA NeST, TUKO BUNGENI

Jun 23, 2024 15m

Tenda Radio Sehemu ya 5 inazungumzia jinsi ambavyo wazabuni wa Tanzania wamepewa upendeleo maalum kwenye sheria mpya, na jinsi ambavyo wanaweza kupata sehemu ya Bajeti ya Serikali iliyotangazwa…

S1E4 Jinsi watumiaji wanavyokuwa salama kwenye Mfumo wa NeST

Jun 04, 2024 16m

Hii ni sehemu ya Nne ya Tenda Radio, ambapo pamoja na mambo mengine, tumezungumzia usalama wa watumiaji katika Mfumo wa NeST. Tumezungumza na Mkurugenzi wa Mifumo ya TEHAMA ambaye pia ni Meneja Mradi…

S1E3 FURSA YA ZAIDI YA SH. 104 BILIONI, NA JINSI YA KUPATA SEHEMU YA BAJETI HII

May 11, 2024 15m

Usiikose hii. Tusikilize upate fursa, ubadili maisha yako kiuchumi. Tenda Radio imekita kambi jijini Arusha, kuzichambua fursa ya bajeti ya zaidi ya Sh. 104 Bilioni zilizowekwa kwenye Mfumo wa NeST…

S1E2 HATUA TATU MUHIMU KUPATA TENDA ZA SERIKALI

Apr 17, 2024 16m

Hii ni sehemu ya pili ya Tenda Radio inayokupa hatua tatu muhimu za jinsi ya kupata tenda za Serikali. Tumeyajenga na Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA, Bw. Godfrey Nyaisa na Meneja wa Huduma za Kanda wa…

S1E1 JINSI YA KUPATA TENDA ZA SERIKALI KUPITIA MFUMO WA NeST

Mar 20, 2024 15m

#KIMEPEWA NGUVU NA PPRA #KAMATA FURSAUnawezaje kupata Tenda ya Serikali kwa haki kupitia Mfumo wa NeST? Kipindi hiki kitakufungua kuhusu jinsi ambavyo unaweza kupata tenda za Serikali (zabuni za…

Market Reports

Benchmark this show against its category and language peers.

Similar Podcasts

Comparable shows in the same category and language — useful for prospecting and competitive sets.

Profile compiled from public podcast metadata · Last refreshed June 15, 2026