Publishing Details
Contact & Outreach
About This Podcast
Explore Statistics
Recent Episodes
S5E1 Niliyofunza kwenye Komangamano la#SSAGDGSummit25 - Accra, Ghana 🇬🇭
Kwenye toleo hili, nimeeleza mambo niliyojifunza kwenye Kongamano la Jumuia ya Developers Kusini mwa Jangwa la Sahara lilifanyika Accra, Ghana. Host: Yesaya R. Athuman
S4E3 KotlinConf kwa Mara ya Kwanza Dar es Salaam - GDG Dar es Salaam
GDG Dar es Salaam kwa mara ya kwanza inakuletea #KotlinConf itakayofanyika tarehe 08/06/2024. RSVP Link:…
S4E2 Exploring Sarufi and Neurotech: A Conversation with Kalebu
In this episode, we had a fantastic discussion about all things related to Sarufi and Neurotech with Kalebu. Tune in to the conversation to learn more. Host: Yesaya R. Athuman
S4E1 Switching/Sticking to Programming Languages
Join the conversation with Yesaya and Anderson to talk about Switching/Sticking to Programming Languages. Host: Yesaya R. Athuman
S3E3 Andika Ujumbe wa Msaaada Utakaojibiwa na Mtu Mwenye Followers Wengi
Kwenye episode hii nimeeleza kwa kina namna ya kuandika ujumbe wa kuomba msaada kwa mtu mwenye followers wengi. Yawezekana ni programmer au mtu mwenye uzoefu kwenye eneo fulani. Host: Yesaya R.…
S3E2 Niliyojifunza kwenye #DevFestNairobi na Fursa zilizopo kwa Developers
Nimeandaa mjumuisho wa mambo niliyojifunza kwenye #DevFestNairobi na hamasa niliyopata na hivyo nimeona vyema niweze kukushirikisha wenzetu walipo ili nasi tupate kupiga hatua zaidi.Ndugu yangu,…
S3E1 Mambo Matatu (3) Muhimu kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza Chuo
Tunapoelekea kufungua vyuo, nimeona ni vyema kuwapa abc wanafunzi wa mwaka wa kwanza hasa katika kozi za TEHAMA.Nimeweka mambo matatu (3) muhimu ya kuzingatia, unaweza niachia maoni yako kule Twitter…
S2E35 Nitumie Browser Gani?
Browser ni software application for retrieving, presenting and traversing information resources on the World Wide Web. Lakini pia inawezesha kucapture au kuinput taarifa ambayo inaweza kurudishwa kwa…
S2E34 Usijisikie Vibaya Kugoogle
Hey, Mambo vipi,Leo tutazungumza kuhusu kugoogle au kutafuta majibu ya changamoto unapokuwa kwenye ujenzi wa mfumo. Je, unajisikia vibaya unapogoogle mambo kwenye mtandao kama programmer unanielewa…
S2E33 Namna ya kutunza na kulinda taarifa za kadi mtandaoni
Hey, Mambo vipi,Leo tutazungumza kuhusu usalama wa taarifa za kibenki katika kufanya manunuzi online. Technolojia inabadilika kila leo, vilevile maarifa ya kulaghai watumia wa mitandao yazidi kuto…
S2E32 Uzoefu wangu katika kufanya manunuzi online II
Hey, Mambo vipi,Leo tutazungumza uzoefu wangu katika kufanya manunuzi online sehemu ya pili. Kwenye toleo lilipita nilikueleza maandalizi niliyofanya kabla sijaagizo mzigo. Nilikueleza niliapanga…
S2E31 Uzoefu wangu katika kufanya manunuzi online
Hey, Mambo vipi,Leo tutazungumza uzoefu wangu katika kufanya manunuzi online. Mid this year niliamua kufanya refresh ya tools ninatumia hapa Yesaya Software (camera, light and mixer) na nilitamani…
S2E30 Mambo ninayofanya Bundle nikiwa sina Internet
Hey, Mambo vipi,Leo nitakushikisha mambo ninayofanya nikiwa sina access ya Internet - yaani bundle limekata. Kwa kawaida nikiwa na internet na niko nyumbani kama siko na watoto basi muda mingi niko…
S2E29 Nimekupa Summary ya Video 8 Nilizoupload
Hey, Mambo vipi,Leo nitakupatia update ya kazi niliyofanya this weekend. Nimekamilisha kurekodi na kupublish video 8 kuhusu Laravel Community Website. Na kubwa tunatengeza website hii pamoja,…
S2E28 Mambo ya Kuzingatia kwenye Kuamua kutengeneza Multi/Cross Platform
Leo tunakwenda kujadili kidogo kuhusu path niliyochukua kutengeneza cross platform apps, hapa ninamaanisha Android and iOS App. Kutokea awali nimekuwa mzito sana kudevelop apps ambazo sio native…
S2E27 Ukweli na Elimu kuhusu YouTube Monetisation
Ukweli na Elimu kuhusu YouTube Monetisation Host: Yesaya R. Athuman
S2E26 Uhusiano wa Mentor na Mentee
Leo kwenye Twitter Spaces na Yesaya Software tumejadili kuhusu uhusiano wa Mentor na Mentee. Tulijadili mambo mengi ikiwa na kuangalia sababu za kwa nini utahiji mentor.Increased…
S2E25 Kuwa mwangalifu na matumizi ya pesa kwenye mtandao
Historia kidogoZaidi huduma nyingi kwenye mtandao ilikuwa unalipia mara moja tuuHii ilikuwa ngumu lakini ukiweza lipia unakuwa umemaliza hiyo kitu kwa miaka michacheSasa huduma zimebadilika…
S2E24 Freelancer kwa miaka 5 nitakusimulia changamoto na fursa
Freelancer kwa miaka mitano nitakusimulia changamoto na fursa. Hii ilikuwa sehemu ya mazungumzo yangu na wadau mbalimbali kwenye Twitter Spaces. Nilipata fursa kusikia uzoefu kutoka kwa Baraka,…
S2E23 Content ya kuweka kwenye mtandao na kupata traffic kubwa
Kwenye toleo hili ni sehemu ya majadiliano kwenye Twitter Spaces na nilijadili na wadau niweke content ya aina gani kwenye mtandao ili niweze kupata traffic.Pia tulizungumza mambo ya kuzingatia…
Frequently Asked Questions
Yesaya Software Podcast has published 57 episodes since November 2018, covering topics in Education, Technology.
Yesaya Software Podcast is currently dormant with new episodes every 2 weeks. Average episode length is 18m.
Sign up on Grep.FM to access contact details for Yesaya Software Podcast, including email and social media links.
Similar Podcasts
Pastor Tony Kapola
Pastor Tony Kapola
1,096 episodes
MAELEZO PODCASTS
Tanzania Information Services Department (Idara ya Habari-MAELEZO)
9 episodes
Pastor Neema Tony Osborn
Pastor Neema Tony Osborn
136 episodes
Muslim Recharge 🇰🇪🇹🇿
Next Gen Muslim Network
13 episodes
The Insightful Podcast Show (TIPS)
Carlton
53 episodes
Watushule Swahili Podcast
Waafrika wanaofikiria.
10 episodes